Habari za mchana wanajamvi......
Poleni na mihangaiko ya kuijenga Tz ya viwanda na uchumi wa kati.
Tikiwa tunaendelea kutafakari teuzi za ma RC(Malima na Mnyeti) naomba nisaidiwe kwa tatizo...
Utangulizi:
Magonjwa ya ngono ni magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya tendo la kujamiiana na mtu aliyeambukizwa magonjwa hayo bila kutumia kondom. Magonjwa haya huweza kuwa-pata watu wa rika na...
Si kila mwanamke yuko huru kusema kuwa aliwahi kupata tatizo sehemu za siri. Karibu nusu ya wanawake wote walishapatwa UTI na wengi huwarudiarudia kiasi kwamba inakuwa kero. Nikianza na UTI...
Ndugu msomaji nimeona ni muhimu kuandika tofauti ya ugonjwa wa kaswende na kisonono kwa sababu kumekuwa na idadi kubwa ya wagonjwa ambao wanapotoa maelezo au malalamiko yao wamekuwa wakichanganya...
Labda nianze nyuma kidogo. Mimi ni mwanamme, Miaka zaidi 10 nyuma nilipatwa na tatizo lilonisumbua sana. Lilianza hivi, Nilikua Napata maumivu wakati wa kukojoa, mambo yakaendelea mwisho nikawa...
Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili wa...
Tatizo la kunuka miguu husababishwa na pale jasho linaposhindwa ku- evaporate na bacteria kuanza kupata mlo humo kwenye jasho la miguuni ambalo huwa katika mfumo wa organic acids na hii hutoa...
Kama kichwa cha habari kinavyosena hapo juu, ni kutokana na kazi ninayofanya ya ku stay long time working on a computer ndo imepelekea hivyo. Macho yangu yanakuwa yanauma nikikaa sehemu zenye...
Kuna mdogo wangu ameng'oa Jino, lakini wiki ya pili saivi kidonda hakijapoa. amesahatumia dozi mbili za antibiotic ambazo kapewa spiltali lakini bado hapana dalili zozote. Spitali naona ndio...
Naumwa korodani yapata mwaka sasa.
Maumivu ninayoyasikia si ya kawaida..misuli ya mapaja inabana na sehemu ya tumbo chini ya kitovu inauma hadi najisikia kuchechemea wakati mwingine...
Uvimbe kwenye mayai ya ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanaozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke.Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke...
Mimi ni kijana wa miaka 27 mwenye afya njema na sina michepuko mingi.Tatizo linalo nisibu niwapo sita kwa sita na mpenzi wangu including wote niliotembea nao bao la kwanza hua linawahi kutoka...
5: Maji huzuia na kutibu ugonjwa wa kipandauso (migraines)
Uumaji wa kichwa kwa mbele, ama kipandauso, huwa ni dalili ya ubongo na macho kuhitaji maji mwilini. Maumivu hayo yaweza kutoweka kabisa...
Wakuu nina tatizo la aleji ya macho kwa zaidi ya mwezi sasa nimeenda hospital CCBRT walinipa dawa za matone nimetumia lakini bado tatizo lipo mwenye kujua hata dawa ya asali aniambie manake hali...
Mwenye kujua dawa ya jipu iwe ya kisasa au ya kienyeji tafadhali aniambie kuna jipu eneo langu la kalio la kulia kwa juu tuelewane hapo, si katikati ni la kulia kwa juu nakaribisha majibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.