Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi...
Naomba aliekua na contact Za Dar Group anipe Tafadhali.. Ni me Google land-line hawapokei.. Na Shida na Dr Elibarick kama bado yupo.. Dr wa mifupa ..au jus direct contact... Asanteni
Kuna kibaka kidogo cheusi kinasha sana nimeshatumia dawa za ngozi kama white field, nicodem but kinakuwa kama kinafubaa then kinaanza tena kinaweza kuwa nn na tiba je
Ndizi ni tunda lenye vitamin C, B6, Potassium na Manganese.
75% ya ndizi ni maji, hivyo usipokuwa na uhakika wa maji salama ulaji wa ndizi unaweza kuokoa maisha yako.
Ukila ndizi wakati...
Sitaki niwachoshe kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,mimi nimekuwa nikisumbuliwa sana na usingizi pindi ninapokuwa kazini iwe mchana au usiku nahangaika sana mara nipitiwe na usingizi wakati...
Jamani dalili za madonda ya tumbo ni zipi ?
Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo langu huwa nasikia maumivu sana hata kama nikila chakula bado nayapata maumivu ila kuna muda khali hii hutulia kabisa .
Habarini za Asubuhi wapendwa naomba kuuliza hivi nini kinasababisha mimba kutokukuwa?nina ndugu yangu ni mjamzito wa miezi mi tatu,ila kila anapoenda kwa doctor anaambiwa hakuna mabadiliko yani...
MSAMIATI
Kinywaji cha viungo:
Hiki ni kinywaji chochote ambacho kimetengenezwa kwa kuwekwa
viungo. Kinywaji hiki kinaweza kuwa cha moto au cha baridi. Kinywaji
cha baridi kinapotengenezwa...
DALILI ZA MIMBA BILA KUWA NA MIMBA
▪Ni Mimba ya uongo inayofahamika kitaalamu kama (Pseudocyesis) ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito.
👉...
Naomba kuwasalimu wakuu!!
Nina tatizo la meno kupekechwa na hatimaye limekatika kabisa jino moja la mbele na nilivyokwenda hospitali juzi ikabidi king'olewe kipisi kilichokuwa kimebakia.Sasa...
Wakuu! Salama?
Naomba kuuliza kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito inamadhara kwa yeye kiafya, je kama aina unaruhusiwa kufanya naye mapenzi mpaka miezi mingapi mwisho.
Pasipo matatizo kwake na...
Habar wana jf
Mimi nasumbiliwa sana na tatizo la kuumwa kichwa kwenye paji la uso maarufu kama KIPANDA USO ni tatizo linanisumbua miaka mingi sana karibia miaka saba had na sielew matibabu yake...
Habari wakuu, mpenzi wangu alifanya abortion wiki mbili zilizopita lakini hadi leo anatokwa na damu, akijisafisha anatoa pia uchafu wa damu kama mabonge mabonge naomba msaada kwa hili.
Ni kweli kunaponesha?
Tunaomba mujitokeze muliopata majibu wakuu.
Mana sie wengine tushachoka na madawa ya mahospitali yasioleta majibu yoyote yakudumu.
Wakuu nimekua nikifuatilia mijadala mbali mbali inayohusu huu ugonjwa,nakugundua kuwa ni ugonjwa hatari sana.
Naombeni msaada wakujua gharama za chanjo ya huu ugonjwa hapa nchini kwetu.
Ndugu wa JF,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekua na mawazo sana kua endapo ikitokea nimeugua ngiri na operesheni ikahusisha utoaji wa kende moja na mimi nikabaki na moja,je sintakabiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.