Habari wakuu
Kama kichwa hapo juu, huwa napata maumivu kama kichomi kwenye moyo(ziwa la Kushoto) wakati nafanya mazoezi, mfano kama ya kukimbia au kuruka kamba huwa inaniuma sana, je yawezekana...
Habari!
Tafadhalini sana naomba mawazo yenu juu ya tiba ya ngiri kwa mtoto Mdogo wa mwaka mmoja na mwezi mmoja. Mwanangu anaonekana kuwa na ngiri aina ya Inguinal kama inavyoonekana kwenye picha hapo
Wasalaam wana JF, mitikasi ya maisha zipo poa..!?
Baada ya matumizi ya muda mrefu ya condom nimebadilisha uamuzi na kuamua kuachana nazo kabisa.
Sababu zikiwa ni hizi zifuatazo:
Zina fanya...
Mubarikiwe nyote
Nisaidieni kwa anaejua mke wangu hua anakawaida ya kupunguzia akiwa na mimba (hua anapata hedhi japo kidogo) sasa katika mimba hii naona imekua nno yaani ametoka damu nyingi...
Habari wana jamvii!kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nimekua mhanga wa tatizo ilo kwa muda sasa na bado sijaonana na daktari kwa ushauri zaidi.dushe Langu likikasilika linakua la wastani...
Kuna vidude fulani hivi vinaota pembeni kwenye kucha za mkononi ukifua nguo mie kalikuwepo, ila kalitoka kenyewe tatizo nimevimba sana kidole, ni kidole kidogo cha mkono wa kushoto nimenunua...
Habari zenu wakuu!
Huje moja kwa moja kwenye kichwa cha habari,je inawezekanaje mwanamke aende kutoa mimba bila doctor kuungilia(kujamiana) kutoka na hospital nyingi madoctor ni vijana au pengine...
Hi...
This mail has been written by Mayank who works in Ranbaxy. So go
through it and know about the actual causes of HIV(AIDS).
The purpose of sending this mail to U is to be aware of...
Wakuu poleni na Majukumu, hivi Mama mjamzito kutokwa Majimaji yasio na harufu au damu kiasi inaweza kuathiri ujauzito Usiendelee kukua....hasa mimba changa?
Tatizo hili limemtokea shemeji yangu...
Habar wanajf
Natumaini mu_wazima kwa neema ya mungu.
Basi niende moja kwa moja kwenye maada, kuna ndugu yangu anatatizo la kutoka upele hasa maeneo ya mgongoni, kifuani na kwenye mabega
Tatizo...
Habari ya Mchana wana JF, naomba kujuzwa inachukua muda gani tena kwa mwanamke aliyeharibu ujauzito kuanza kutafuta ujauzito mwingine / yaani anatakiwa kukaa muda gani ili ashike tena ujauzito?
SIKU moja baada ya gazeti hili, kuripoti matumizi holela ya dawa yanavyoathiri ini na figo, Meneja Kitengo cha Uchunguzi wa Saratani, Elimu kwa Umma wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), Dk...
Habari wanaJF
.
Nilikuwa naomba kuuliza eti
Chuo kikiwa ownership ni private kwa maana cha private lakn kimesajiliwa na NACTE,
.
Je, selikali ikitangazaa ajira kutoka katika vyuo, wanakuwa...
"SHARE THIS INFORMATION FIRST AND READ AFTERWARDS.....SAVE LIFE Share this as much as you can.
"10000 times stronger killer of CANCER than Chemo".. do share it.. can save many lives, fill up...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.