Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu. Naomba kujua tofauti kati ha hivi vitu MRI, X-rays, Ultra sound na CT Scan interms of- 1/Cost 2/Ubora wa picha "Clear image" 3/Effect kwenye mwili wa binadamu mfano mionzi ya X-rays...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Mf, nikishakula ugali(Wakushiba kabisa) mchana saa saba mida ya saa kumi kasoro jioni nakua nimeshapata njaa tena. Nikinywa chai asubuhi saa mbili, saa tano nakua nimeshapata njaa tena. Pia huwa...
2 Reactions
102 Replies
13K Views
Habari wakuu Hapa majuzi wakati niko kwenye faragha na shemeji yenu mpya nilisikia akilalamika kuwa nipunguze kasi kwani anausikia uume unafika tumboni. Je ni kweli uume uwa unafika tumboni?
1 Reactions
69 Replies
13K Views
Habari wanajukwaa!? Kwanza naomba niwaombe radhi kwa kuja na ID mpya ingawa humu mimi si mgemi kwn hadi sasa nina miaka 8 ya uanachama. Turudi katika mada! Historia kwa kifupi Kwa jinsia mimi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Doctors au aliyewahi ku experience hii kitu msaada wa ushauri kabeba ujauzito mtoto aliyepo ana umri wa miezi 11 je tumbo litaweza kuhimili ujauzito mwingine? Binafsi nikashauri labda zile njia...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wana Jf hii dawa ya minyoo ni nzuri sana au maana kuna mtu kaniambia nitumie sasa imebidi niombe ushauri kwenu kwa wanaoijua vizuri. Thankx
0 Reactions
3 Replies
28K Views
Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali. Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe...
3 Reactions
156 Replies
33K Views
Habari za saa hii wapenzi wana jf ningependa kujulishwa na member wenzangu kuhusu : hospitali gani za serikali (Dar es salaam) wanazopima vidonda vya tumbo Na garama zake ni kiasi gani? NB...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye kujua hili napata maumivu kama ya kidonda chini ya ziwa lakini nikijaribu kutafuta maumivu nayapata kwenye mbavu ya kwanza katikati nitakuwa nasumbuliwa na nini umri wangu miaka 25
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Mficha "nyeti" hapati mtoto. Yaani ikifika usiku wa manane kuwe na joto au baridi, manyonyo yanawasha sana hadi kwenye chuchu! Ushauri wenu tafadhali hasa hawa wataalam @sky eclat, na @Watu8...
7 Reactions
288 Replies
34K Views
Wakubwa Hatua za Ukuaji wa Mimba ni jambo ambalo limekuwa likinitatiza sana naomba Kujua.... Ukuaji wake umegawanyika katika sehemu ngapi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua kama mwanamke anayekosa hedhi kutokana na matumizi ya dawa za mpango kama pills au kijiti kunaweza kumsababishia mtu huyo kupata chunusi nyingi usoni, kukonda na ngozi ya uzo kuwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MBOGA ZA MAJANI Utafiti uliofanyika nchini Uingereza umeonesha watu wanaokula mbogamboga pekee wana afya zaidi kuliko wanaokula nyama pekee. Je, wewe unakula mbogamboga kwa sababu ya umasikini...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
MATUFAA KWA AFYA,LISHE NA TIBA "An apple a day will keep the doctor away An apple before bed makes the doctor beg his bread" (kula tunda moja la tufaa kila siku humfanya mtu asiwe na haja ya...
1 Reactions
10 Replies
32K Views
Habari wadau nataka kujua sababu ya mikono kutetemeka na kama kuna tiba yoyote ile?
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari jf naomba kupata msaada wa Dr ambae anaweza kua anakuja home kumuangalia mgonjwa pia naomba ushauri kwa mwenye experience mama ni mgonjwa alianza kwa homa ya kawaida . Badae akawa hawezi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu jf,,nilikuwa naomba msaada wa tiba wa haya magonjwa maana yananisumbua mwaka wa pili sasa nimeshatumia dawa za hospital na za kienyeji lakini bado
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii forum, tatizo langu hua na low mood (easily upset) inayonipelekea kujiskia kulia without a strong reason. je nifanyeje niepukane na hii hali?
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta medical marijuana mwenye kujua inapatikana wapi anijuze, na je hauwi dependant? unatumia kiasi gani kwa mda gani?
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Je una tatizo la Msongo wa Mawazo??? Pata Mind Enhancement Complex tiba Asili inayotibu Stress na kukuacha ukiwa umerelax na ku Enjoy Maisha. Kwa Maelezo Zaidi Tuwasiliane 0719 252523
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom