Naomba msaada wenu wakuu mimi nina sulphur allergies nafanyaje niweze kuondokana na ili tatizo kabisa mana product nyingi madukani zina sulphate najikuta nameza dawa mara kwa mara nisaidieni hata...
Habari zenu poleni na majukumu.
Miezi miwili iliyopita nilikwenda hospitali kuonana na Dr. wa wanawake kutokana na tatizo langu la kutopata ujauzito na vile mzunguko wangu haujakaa vizuri...
Habari,
Madaktari na wakuu wa jukwaa hili nina ndugu yangu (22), kaolewa 2016 August ana tatizo la kubeba ujauzito na kuharibika, alibeba ujauzito kufikia miezi minne ukaharibika,akabeba tena...
Namtafuta Dr. Danny Njau yule alayegundua dawa ya figo na homa ya INI.
Huyu Doctor alikuwa anahojiwa na ITV week iliyopita katika kipindi cha asubuhi KUMEKUMEKUCHA ITV.
Pia taarifa zake...
Wakuu Poleni na Majukumu, nina changamoto kadhaa kuhusu Ujauzito wa mke wangu.
Wife wangu ni mjamzito unaokaribia miezi miwili, tatizo alilonalo kwa sasa ..anasumbuliwa na maumivu ya Tumbo Kwenye...
Miezi kadhaa imepita rafiki anasumbuliwa na huu ugonjwa. Umempata uneo dogo juu ya unyayo. Mwanzoni Dr alidhani ni fungus, lakini baada ya kutumia dawa za fungus muda mrefu bila mafanikio...
Habari zenu wana JF?! Nina tatizo la kiafya nalo ni kuota kwa kokwa la tatu ndani ya korodani. Kama tunavyofahamu, korodani huwa na kokwa mbili. Hivi karibuni nimeanza kuhisi kuota kwa kokwa la...
Nilisogelea kwenye mashine ya kusaga, kwenye kile kinu chake nikaegemea huku mashine imewashwa walikuwa wanasaga unga. Pale mashine inavyotetemeka utaona ub** unapata utamu fulani hivi mpaka...
Mi nina mke tuna miezi 2,tatizo ninapojaribu ili ajihisi hisia inashindikana,anaona kama unamtekenya popote unapogusa.na pia tukiwa kwenye game nachelewa kukojoa hivyo anachoka.tatizo ni nini
Wakuu mtoto ananipa wakati mgumu sana, ana wiki 6 sasa na amekua analia sana usiku yani kilio cha yowe kabisa.
Nimejaribu kumpa dawa 'infacol' na bonnisan lakini tatizo bado liko pale pale shida...
Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 sep ambapo tarehe 29sep na 30 sep nilifanya...
Mke wangu alipatwa na tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi na madaktari wamemwambia huenda mume wako ana tatizo la low sperm court je unaweza kuwa biological reason?
Kwa miezi sita ya kwanza katika maisha ya mtoto chakula pekee ambacho wataalamu wa afya wanashauri apewe ni maziwa ya mama tu. Kunyonyesha ndio njia ya kwanza kabisa kumpa mtoto chakula. Unapoanza...
Maana ya hedhi
Hedhi kilugha
Ni kitu kutiririka na kupita
Hedhi kisheria
Ni damu inayotoka kwenye uzao wa mwanamke katika muda maalumu bila yasababu
Namna ya damu ya hedhi ilivyo
Ni nyeusi kama...
Naomba kuuliza nini kinacho sababisha mwili kutokewa na majipu maana ninavyoongea saa hivi nina majipu mawili katika mwili wangu hivyo nilikua naomba kufahamu chanzo na tiba ya majipu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.