Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani, kuuliza si ujinga. Kwa wale wenye ufahamu juu ya meno ya bandia, baada ya meno ya jamaa yangu kupukutika na reception kuonyesha uzee bila mpangilio, (amefikiria kuweka meno bandia). Je...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Jaman wadau wenye vivid details about masturbation na effects zake plz cz kuna mtu hapa kaniulza nimempa majibu but dogo anakaza fuvu hataree hb wana bios madoctor mnipe hata link ili iwasaidie na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu, Mavazi ya half naked kwa kina dada Picha za uchi za kina dada.. Ndiyo chanzo kabisa cha kuwafanya wanaume washindwe kazi kitandani kwa kukosa mzukaa. Maumbile ya mwanamke yanatakiwa...
17 Reactions
60 Replies
7K Views
Wajuzi wa mambo njooni hapa! mtueleze ukweli wa mambo, maana juzi kati nilikuwa na game na ka she fulani hapa mtaani kwetu kumbe yule she alikuwa hajamaliza period yake vizuri na hakuniambia, sasa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu, Asubuhi ya leo nimeamka mwanajeshi wangu kasimama hatari, yaani anasimama then anapoa anasimama then anapoa. So mida hii huyu mwanajeshi amepoa kabisa ila nahisi maumivu makali kwa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wakuu Nahitaji msaada wenu hata kwa hili tatizo kuna mtoto wa dada yangu age 9 1/2...siku za karibuni aliwahi kusema huwa anajisikia baridi ya ghafla mwili mzima..na inakuja na kupotea...
1 Reactions
89 Replies
11K Views
Haya mpaka sasa ni Wangapi kwa Utafiti huu tayari tuna dalili zote zilizotukuka za Ugonjwa wa Saratani / Kansa ( Cancer ) ya Tumbo? Hivyo basi hapo hapo ulipo sasa hivi tena kama ukiwa upo katika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Jambo Tanzania, Naombeni msaada wa haraka wa kuelimishwa kuhusu HOMA YA MANJANO(Yellow Fever) Wakuu ktk pitapita zangu kwenye taasisi moja ya kutoa elimu(Shule)Nimekutana na mtoto mmoja ambaye...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Habar wana JF naomba kujua Mama mjamzito wa Mimba Changa kutokwa na Maji yenye Rangi kama njano..hiyo inaashiria Nini? Swali la Pili ! .....Nina Rafiki yangu mke wake Ni mjamzito, ambae...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Complete Guide Urine Therapy (Coen Van Der Kroon) Urine consists of 95% of water, 2.5% of urea and the remaining 2.5% is a mixture of minerals , salts, hormones and enzymes. Only urea , the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa jambo. Fulan
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi mke wangu ni mjamzito lakin siku mbili hizi anasumbuliwa na kuumwa kichwa. Naomba msaada tatizo hili hutokana na nini??? Nina imani nitapata jibu sahihi. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
23K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 sasa. Mnamo mwaka 2002 nilipokuwa form II nilianza kusikia kaharufu flani hivi kabaya kabaya kanatoka kwenye mwili wangu kaharufu ka uvundo sio uvundo mkojo sio mkojo...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Naomba ushauri uume wangu unatoa usaha tatzo nini jamani ???
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari za muda marafiki,kuna haja ni share hii elimu ni nzuri na itakusaidia kwa kiasi fulani jinsi kama mgonjwa unapaswa kujua namna ya kujielezea kwa daktari ili upate tiba bora kwa mtoa huduma...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za weekend wakuu!! Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Naombeni msaada mm nikifanya mapenzi miguu inaniuma sana.sjajua hili tatizo linatokana na nini kwa anayejua kama ni ugonjwa nikatibiwe kabisa hili tatizo lisijirudie maana kuna muda hadi nahofia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KULA KUCHA. Tangu nimezaliwa na kukua nakula kucha zaidi ya miaka 30+ hii tabia inanitesa maana sijawahi kuwa huru na vidole vyangu. Kucha zangu muda wote ni mbaya na nang’ata mpaka vinapaki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu jf,,nilikuwa naomba msaada wa tiba wa haya magonjwa maana yananisumbua mwaka wa pili sasa nimeshatumia dawa za hospital na za kienyeji lakini bado
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom