Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuna vitu fulani huwa vinatutokea kwenye miili yetu halafu unabaki tu na maswali kwakua ni wewe tu unatatizwa. Mimi kuna hii habari ya kucheua baada ya kula,yaani unagonga zako msosi freshi,baada...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda huu? Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni kijana wa late 20's nilimaliza shule mwaka 2014 lakin paka leo sijapata ajira rasmi zaidi ya kuunga unga tu na mission town za...
10 Reactions
41 Replies
8K Views
Please wenye uzoefu na uelewa wa huu ugonjwa wa mtoto mchanga kutokwa na tongo tongo kila mara tena macho yote. Chanzo chake, madhara yake na tiba yake ni IPI? Please sana.
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habarini wanajamvi naombeni elimu kidogo je, mwanamke anaweza hakakosa hedhi ndani ya mwezi??, Tatizo ni nini hapo nini kinasababisha mtu kukosa hedhi??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama Kichwa tajwa apo juu tulipoenda kupima HIV nilimshangaa mwenzagu kukosa utulivu nikagundua ali iyo maana katika kuzungumza naye kuna wakati aliniambia akikuta kaathilika anaweza kujidhulu...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Habar zenu wataalam. Naomba mnisaidie ushauei km kichwa cha habari kinavyojieleza. Nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za jioni, naomba ushauri nina dogo wangu ana miezi minne amepimwa uzito leo anaambiwa uzito ni mkubwa kuliko umri wake na anatumia maziwa ya mama yake tu, plz kwa anaejua tufanyeje kushusha...
1 Reactions
4 Replies
992 Views
Magonjwa ya akili yamegawika katika sehemu kuu mbili kulingana na ukubwa wake 1) Magonjwa ya akili ambayo mgonjwa hustahiki kutumia dawa au kulazwa hospital (major psychiatric disorder). 2)...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Hello, Mimi ni pacha, Mara nyingi tangu Niko o level ilikua napata period tarehe 30 ya mwezi flani let's say (August) inaendelea SKU tatu au zaid ila tu inaisha tarehe ya mwezi ujao(September)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani kuna binti amebleed mara mbili kwenye mwezi mmoja tena hana hata week sasa hivi anahisi dalili za bleed tena sasa hajabadili msosi wala mazingira sasa tatizo la bleed kama...
1 Reactions
14 Replies
10K Views
Mke wangu ana ujauzito uliokadiriwa kuwa wa wiki 33 na siku 2 sasa hivi baada ya mazoezi ya kutembea tembea kidogo akasema anahisi maumivu makali yanavuta chini ya kitovu mithili ya maumivu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna video inaonyesha yai la chupa ya chai katikat ya ukuta wa kwanza na pili kuna vidonge kama dawa viantolewa. Kwa wataalumu wa niambieni ni vyanini kama sio dawa vina kazi gani?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Miaka inapita figo zetu zinachuja damu kwa kuondoa chumvi na bakteria wasiohitajika waliomo kwenye miili yetu. Baada ya muda wa chumvi kukusanyika kwenye figo hali inayopelekea kuhitaji tiba ya...
7 Reactions
10 Replies
19K Views
Habari vijana wenzangu natumai muko wazima na wenye afya njema. Siku ya leo nimeamua kuwaletea makala hii kuhusiana na utaalamu wa kuongea kwa ufasaha na kuwa na sauti shawishi wakati unapoongea...
3 Reactions
4 Replies
6K Views
Wasalaam.. Usiku kama 3 niliweka bandiko kuwa nilitembea na binti muathirika HIV+ kwa Kutumia KINGA na nilienda kupima wiki 3 mbele nikaambiwa Niko salama (NEGATIVE) Nimekuwa na Mambo haya...
2 Reactions
55 Replies
13K Views
Baada ya kufanya Mapenzi na Mtu mwenye VVU wiki kama 3 nyuma Leo nilienda kupima.... 1- nimeambiwa virusi vya VVU hukaa kwenye damu na si mahali pengine. 2- Ili update VVU lazima mbadilishane...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza wadau tangu niko mdogo nina kawaida kila nikilala usiku au mchana uwa najaa mimate mdomoni ambayo nimekuwa na kawaida ya kuyatema sasa siku hizi nimeanza kuyameza maana yalikuwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
MARADHI 13 MAKUBWA YANAYOWASUMBUWA WA-TANZANIA (1) SHINIKIZO KUBWA LA DAMU/KITAALAMU HIGH BLOOD PRESSURE Maana ya Shinikizo kubwa la Damu: Ni ongezeko la nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa...
3 Reactions
25 Replies
15K Views
Habari ya kazi wana jmii, Nimekuja kujiuliza nilimepatwa na ugonjwa ilianza kama tonses nikaend hospitali nikaambiwa minyoo imejenga shingoni, nikapewa dawa haikunisaidia. Nikaenda hospitali ya...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Hii hali Ina wiki Sasa nilienda agakhan kupima moyo wakasema uko ok et ni abdomen pain dozi imeisha ngoma pale pale ,msaada kila saa najiskia vichomi juu ya ziwa la kushoto kupapooza nabonyeza na...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Back
Top Bottom