Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mimi nina miaka 28 nina tatizo la kuwashwa kwenye magoti na hili tatizo huwa linatokea kwa vipindi. Na hivi karibun naona kama misuli ya miguu...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Habari wakubwa, nina miaka 20 tatizo la psoriasis limeanza toka nina miaka 7 nimetibiwa hospitali nyingi ya mwisho ni agakhan dar kuna profesa alinambia kufikia miaka 18 itapungua sana, na kweli...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, sorry naomba kufahamu dawa ya mafua kwa mtoto wa miezi 3 maana hayaponi nilienda zahanati wakanipa Erythromycin.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Parachichi ni tunda lenye kiwango kikubwa cha mafuta lakini mafuta haya ni monounsaturated fat. Mafuta haya husaidia kupunguza kiwango cha cholesterol kwenye damu. Pamoja na uzuri wake ni vyema...
6 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wanajamvi swali langu ni hili hivi sababu iipi inachangia mtu kujifungua kabla ya muda yaani miezi 9?? Pia naomba kujua sababu inayofanya mimba kuharibika
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF wenzangu habari zenu? ningependa kwenda moja kwa moja kwenye hitaji naomba mnisaidie mawazo nini nifanye kuhusiana na hali anayopitia Mke wangu ana mimba ya miezi minne...
0 Reactions
22 Replies
41K Views
Naombeni msaada, Nina ndugu yangu anaumwa cancer ya tumbo ila ameshafanyiwa operation na tumelipa gharama kubwa sana ila sasa hivi inatakiwa apate dawa kila baada ya wiki tatu ila gharama za dawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu za saa hizi Nimejigonga usiku huu kwenye kigingi nje wakati naingia ndani na mguu umevilia damu na unaonekana mweusi na mwekundu baadhi ya sehemu Nilikuwa naomba msaada wa dawa au tiba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko nyumbani siku ya tatu leo, naumwa sana. Nimeenda kupima ugonjwa hospitali kama tatu, wameniambia ni Malaria. Dalili ninazozisikia ni: 1. Kuumwa kipanda uso, mpaka macho huwa yanatoa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ubongo wa binadamu hukua kwa haraka kabla ya kuzaliwa na katika kipindi cha miaka miwili ya mwanzo wa maisha ya mtoto. Katika kipindi hiki, takribani 75% ya kila mlo unaenda kujenga ubongo wa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Naibu waziri ameyasema hayo kutokana na wagonjwa kupewa majibu ndani ya nusu SAA baada ya kupima,angali inahitajika SAA 72 kupata majibu sahihi. Hivyo watz wengi tumekuwa tukitibu vitu kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu salama,naomba kujuwa kama pale MOI wanafanya upasuaji wa Magoti,yaani knee replacement, wanakubali bima ya afya, NHIF au wa nafanya kwa cash? Msaada wakuu kwa anayejejuwa swala hili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama umewahi kuona kidonda kimejitokeza hasa maeneo ya mdomoni hata kama kimekwisha pona. (Kama pichani) What if nikikwambia unavirusi walio lala ndani ya mwili wako aina ya HSV-1 Virusi ? Mficha...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wadau. Naomba kuuliza kuhusu package mpya za bima ya afya ya Jubilee. Anaejua naomba msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar....wan jf naomba kujua dalili za u.t.i maan czan dushelele lang km lipo powa
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habar wadau wa jf docto ninaomba kuuliza leo ni zipi faida hasa za kutumia mafuta ya karafuu katika kuongeza nguvu za kiume au maumbile ya uume Hii ni kutokana na habar ambazo nimekuwa nikisikia...
1 Reactions
1 Replies
11K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Huduma za tohara kwa wanaume bila kufanya operation...(Prepex) wanafunga ringi kwa ndani ya mkono wa sweta then wanazunguushia kitu kama mpira kwa juu. Baada...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Na tatizo LA kuwah wakat na Fanya tendo, he naweza pata dawa!? Kuna mtu aliniambia nitafute Mundende,mwenye kujua ntaipata WAP plz au dawa nyingine yenye matokeo msaada.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habarini za leo wakuu, kuna mtoto wa dada yangu ameumia akiwa anacheza na wenzake, hajaumia ndani ya jicho lakini damu zimevilia kwa ndani, anaona vizuri lakina tatizo ni macho yote mekundu kama...
3 Reactions
20 Replies
34K Views
Jaman nahitaji msaada kwa yoyote anayefaham kuset kin'gamuz cha digtek kwan kinaonyesha channel zinazoanzia 1101 had 1015 tu nyengine zote km clouds wasafi tv zipo lkn hazionesh so kwa anayefaham...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Back
Top Bottom