Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Tatizo la kufanya kuvimba upande mmoja wa sehemu ya chini ya kichwa cha uume baada kumaliza tendo yani kukojoa kwa muda wa madakika kadhaa alafu ndio hali hurudi linaweza kutokana nanini? Limekua...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu , Katika kupekua pekua kwangu nimekikuta kitabu hiki mahali fulani. Nikaona nijaribu kuwaletea wanajamii forums , huenda kitakusaidia kwa namna fulani . Na kwa yeyote mwenye kitabu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye jambo husika lililonileta kwenu. Ni kwamba mwanzoni mwa mwaka Jana kuna ndugu yangu aliungua ugonjwa wa uti wa mgongo tukampeleka hosipitali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habarini za jioni! naomba ufafanuzi wa matumizi ya dawa za neurobine na multivitamins kwa mtu mzima na mama anayenyonyesha. prescriptions za daktari zimenichanganya mana aliniambia aliconiambia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF Naomba msaada wa njia zipi mfano kama ni chakula au mazoezi yatakayosababisha mwili wangu kuongezeka nitashukuru sana.
0 Reactions
48 Replies
106K Views
msaada wa kuku hivi kama unafuga kuku wa kienyeji halafu wakawa wagonjwa wanadalili za kufa maana wanatetemeka wanashindwa kutembea ukiwachinja uwale huwezi kupata magonjwa yao
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba ushauri na msaada unaohusiana na tatizo hilo. Dalili nyingi nilizozisikia ninazo. Tatizo la nguvu za kiume, Ganzi, kichefuchefu cha mara kwa mara, Miguu kuuma, Viungo kuuma, Mwili kuwa na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Watanzania wengi sana wanaumwa ugonjwa wa kisukari. Ikumbukwe tu kuwa, watu wanapopata msongo wa mawazo / frustrations / stress ama matatizo makubwa sana ya kimawazo, humsababishia kuwaza kwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
kifua kuuma wakati huo kukohoa sikohoi na maumivu huwa nayasikia pindi nikiwa nimekaa nimetulia lakini wakati na kazi au busy huwa siyasikia na titi la kuxhoto huwa panauma na mara pengine mkono...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Doctor na JF wote. Naomba kuuliza kama kuna aina ya vyakula ninavyoweza kula ili kupunguza Blood Pressure kwa haraka. Nimetumia Dawa kwa kipindi cha miezi michache na BP imeshuka toka...
0 Reactions
22 Replies
27K Views
Habari zenu wana Jf Nina tatizo moja hivi yaani kila nikiaanza kuingiwa na hofu huwa najikuta shatoa manii napiizii yanatoka yenyewe automatically nashindwa kujizuia jamani hii ni tatizo au ni...
3 Reactions
88 Replies
7K Views
Nilisoma na kufikiria sisi wapikia kuni kila siku. Mwisho uzeeni tunachomwa moto kwa kuitwa wachawi The Dangers Smoke Poses to Your Eyes If you live in California, then you are probably...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa hili la JF Doctor. Nilikuwa naomba ushauri wenu na maelekezo yenu vipi kuhusu yafuatayo: 1.Ni mazoezi gani yataniwezesha kupunguza kitambi? 2.Ni mazoezi gani...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Napenda kufahamu hivi madonda ya tumbo yanaweza kusababisha mbavu kubana?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
VYAKULA VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA HARAKA KWA MWANAMKE Ni kweli kwamba kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa au kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki[nyege] ya...
2 Reactions
63 Replies
119K Views
Asanteni sana wadau, mnamo wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba msaada juu ya rafiki angu aliyekuwa na tatizo ambalo mliliita BAWASILI (au HEMORRRHOID kama wengine mlivopenda kuita kwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Msaada Mi ni mama ninamtoto mmoja wa kike Nilikua nataka nipange siku nipate wakiume tarehe 8mwez wa nane niliingia Mp alafu tarehe 17 nikakutana. A mwenzangu ambapo ilikua ni siku ya 9 nashanga...
0 Reactions
13 Replies
970 Views
Nilikua naomba kuuliza naweza changanya mlonge na vitunguu saumu
0 Reactions
5 Replies
978 Views
~~~~~~~BENEFITS OF EATING EGGS~~~~~~~~~~ 1. Clean,healthy and convenient. 2. High in amino acids. 3. High in good fats. 4. Promote healthy hair and nails due to good fats and minerals. 5...
2 Reactions
33 Replies
62K Views
Back
Top Bottom