Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mtoto wangu ana umri wa miaka 13 anasumbuliwa sn namaumivu yakichwa' nakujicikia hali yakizungu zungu mara kwa mara yn huwa aipiti hata wiki huwa linamtoke kwa hiyo muda mwingi sn huwa anateseka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
*MEDICAL* *FITNES* *High* *BP* ---------- 120/80 -- Normal 130/85 --Normal (Control) 140/90 -- High 150/95 -- V.High ---------------------------- *Pulse* -------- 72 per minute (standard) 60...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukifisha miaka 50+ metabolism inabadilika kutokana na aging process. Ni muhimu kubadilisha life style, kama ni mnywaji punguza kiwango cha pombe, ongeza kiwango cha mboga na matunda katika mlo na...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
JE WEWE UNA UUME MDOGO A.K.A KIBAMIA USHA ANGAIKA KUUKUZA ILA HAUKUZIKI NATOA OFFA KWA KILA MUITAJI WA KUREFUSHA KIBAMIA KUA DODOKI OFA HII ITADUMU NDANI YA SIKU MBILI LEO KESHO NA KESHO KUTWA...
2 Reactions
5 Replies
798 Views
Hivi kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume? 1. Kuwahi kumwaga 2. Kutodinda 3. Kutokuwa uwezo wa kurudia tendo 4. Kutokuwa na uwezo wa kutungisha. mimba. WanaJF naombeni mnisaidie hapo...
5 Reactions
51 Replies
7K Views
Huwa najishangaa sana hasa kwa upande wa vyakula,mboga na matunda Nikianza na chakula chochote kitakachopikwa huwa nakula sina kile chakula ambacho lazima nikipate au nile ndipo nafsi yangu...
0 Reactions
9 Replies
970 Views
Habari Zenu Wa Jf Nilikuwa Na Shida Ya Kutaka Kujua Matumizi ya Hii Dawa Ya Kichina Kwa Anaeitahamu naomben masaada wenu Wana jamii wezangu
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Wavutaji sigara hupata magonjwa ya macho mara nyingi kuliko wasiovuta. Sehemu ya macho inayopitisha mwangaza inaweza kufichwa kama vile wingu linavyoficha jua(yaani kwa ikimombo) na kusababisha...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habar wanaJF, Naombeni Msaada wenu... Babu yangu anaalama hiyo kwenye kidole hakumbuki alifanya nini... Je ni Tatizo gani?? na inaponaje??
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu Jf-doctors,. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,. Miaka miwili nilikuwa mpenzi mzuri wa mazoezi hasa wa kuinua vyuma vizito lakini kutokana na majukumu yalivyokuwa...
1 Reactions
8 Replies
28K Views
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanini wamama wajawazito hupenda sana kutumia pilipili nyingi, je hazina madhara kwao na kwa viumbe walioko tumboni......!?
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Heshima kwenu!!! Kiukweli nipo serious sihitaji mzaha wa kupotezeana muda. Kwa wanasaikolojia wote mliopo humu JamiiForums nawaombeni pindi mtakapokuwa free mnisaidie tatizo langu. Shida yangu...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Wananyavu, gym gani nzuri hapo DSM? Pamoja na mambo mengine mtaka taarifa anapenda kuzingatia suala la usalama, usafi na location. Shukran kabla..
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Assalam wakuu kuna Mtanzania kazaliwa vyema tu ila baada ya kudondoka kitovu alisafirishwa toka mkoa mmoja hadi mwingine akiwa na mama yake lengo ni mamamtu apate huduma baada ya uzazi. safari yao...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wataalamu Salaam; Kuna Binti ni mfanyakazi wangu hapa dukani kwangu. Jana kanieleza kitu cha kustua kidogo,anasema,tangu mwezi wa 6 hakubleed na akawa na dalili zote za mimba. Kuchoka,kutapika nk...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Ivi ni dawa gani unaweza tumia ili jipu lipone bila kukamuliwa
0 Reactions
8 Replies
867 Views
Kutokana na kuongeza kwa tatizo hili la Shinikizo kubwa la Nyege Mwilini katika jamii zetu niliamua kufanya Utafiti ili kujua Nini Chanzo,Madhara na tiba yake. Utafiti huu ni kama ufutavyo (A)...
1 Reactions
17 Replies
28K Views
NUFAIKA NA MAFUTA YA MISKI Miski ni mama wa mafuta yote mazuri duniani. Kutokana na ubora au umuhimu wake katika tiba na manukato watu wengi wamekuwa wakichakachua na kuzalisha miski...
0 Reactions
21 Replies
61K Views
Wakuu habari kwema! Nina mdogo wangu wakiume anamiaka 25 ana mchumba wake kampa mimba sasa huyu mchumba wa mdogo wangu shemeji yangu ana mimba ya miezi 2 yeye aba miaka 22 inamsumbua sana yani...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom