Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau wa jf Dr Niko Arusha nahitaji kufanya vipimo vya tumbo nauliza hospital ya Mount meru iko vizuri kwa vipimo hivyo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF siku tano zilizopita kuna kitu kilinichekesha sana nilicheka mno adi nikahisi nguvu zimeniishia baadae nikaanza kuhisi kama chembe inaniuma upande wa kulia ndani ya kifua changu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lakini doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo' kwahiyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu.. Poleni na kazi.. Samahani sana kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ninepata ajali ambayo imepelekea kutoa meno 2 ya mbili kulia na kushoto wanayaita chonge nazani kila upande.. Sasa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu! Nina tabia ya kunyonya matiti wakati wa kujaminiana tena hupenda kuzing'ata ng'ata chuchu hivii kwa mtindo wa kumtekenya mwenzi wangu wakati wa kumuandaa. Japokua niko...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Madaktari mlioko humu naomba kuuliza, ni sababu zipi za kisayansi ambazo humfanya mwanamke mjamzito atapike!? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lkn doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo'Kwahyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wana JF mi ninasumbuliwa na tatitzo la vidonda vya tumbo, naomba mwenye kujua suluhisho la hili tatizo kitabibu zaidi anipe msaada wake maana nateseka sana
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari za weekend.. Niende kwenye mada direct, swali langu linaenda moja kwa moja kwa wale wanawake wenye jinsia mbili, wengi wao watu hawa wenye jinsia mbili unawezakuta jinsia moja haifanyikazi...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba kuelimishwa au kugeuziwa vipimo vifuatsvyo kwenda positive. Then nahitaji ziwe kwenye form hii hapa chini.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, msaada wenu tafadhali, Ikipita wiki bila kumfanya mwanamke kichwa kinaniuma sana, nateseka sana. Yaani nimekuwa na kibarua cha kutafuta Malaya kila wiki wa kuwafanya kama demu wangu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
kansa ya korodani huchangia kwa asilimia moja ya kansa zote zinazoathiri wanaume kuna dalili chache sana mpaka kansa inapofikia kiwango kikubwa, ndio inaypfanya utambuzi mapema uwe muhimu. " lance...
4 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu habari zenu Ni siku mbili sasa tangu tatizo hilo linipate nimekosa laha kabisa. Awali ya yote juzi kabla ya kukumbwa na maswaibu hayo nilikutana na rafiki yangu wa kike(girl friend wangu)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JE, UNA MIAKA 40 AU ZAIDI? ZINGATIA HAYA KWA AFYA YAKO Hongera, miaka 40 na kuendelea si mchezo! Kadri miaka inavyokwenda utakuwa unapata mabadiliko katika mwili wako na hata kisaikolojia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kusoma comment zenu zenye kunithamini na wengine kunipa R.I.P basi nami nikaona bora nianze kuchunguza hapa kwake huyu jimama langu. Mzigo ndio huu nimeuona kwa maeneo yake ya SIRI ambayo...
2 Reactions
58 Replies
10K Views
Aisee! Hii kali
3 Reactions
34 Replies
9K Views
Katika pitapita yangu you tube nimekutana na hii kitu , ndani ya 15 days watu wamepona ..is it true? pita uone then ucomment
2 Reactions
36 Replies
16K Views
Nilijifungua mtoto alifia tumboni ila tangia nimemaliza 40 niliona siku zangu ila mwezi huu sijaona je, mzunguko haujakaa vizuri au? Naombeni mniambie Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Habari za mda huu wanajamvi Napenda kuuliza ni kwango gani cha maji kinahitajika katika mwili wa binadamu? Kumekua na info kwamba mtu mzima anywe maji yasiyopungua 3ltrs per day(hii ikiwa ni maji...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwenye salun nyingi siku hizi kuna hii huduma ya scrab. Tukiangalia kwa upande wa afya mara nyingi mtu akitoka kunyoa especially ndevu kunakuwa na vijimichubuko flani, baada ya kunyoa akienda...
0 Reactions
130 Replies
34K Views
Back
Top Bottom