Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari za mda huu wadau, earlier nilikuja na uzi wa wife kutapika sana na kuchoka na kulala mda mwingi katika kipindi hichi cha mwanzo wa mimba (first trimister),nashukuru Mungu kwa sasa hajambo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
blood in urea what solution or treatment? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Katika pitapita zangu nimekutana na hiki kitu wadada wawili wakiwa wanazungumza mmoja akiwa mjamzito akisema eti Sikh zake za kujifungua zimepita eta wiki moja yupo kwenye mawazo kwelikweli Nani...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Natumai mko poa wote mentally and physically kinyume na hapo napenda kutoa pole.. Kama kichwa cha habari juu hapo kinavoulza...?? Tunaelewa katika hatua za mtu kupata HIV/AIDS kuna kpnd kifupi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
naomba kuuliza dakika ngapi nisubiri ili kudoma kipimo tajwa hapo juu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada mwezenu nakojoa mkojo unakuwa wa moto mpaka unatoka moshi kama maji ya moto vile. mpaka naogopa mwezenu. Huu ugonjwa gani madaktari. Nashukuru sana daktari.
0 Reactions
67 Replies
18K Views
Habari zenu, Kuna huu ugonjwa unanisumbua, matiti yanawasha na mpaka kuleta mchubuko kwenye chuchu. Nimeenda Ocean Road wamesema ni magonjwa ya ngozi, watu wananiambia huu ugonjwa unaitwa kiguma...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
. 1.dopamine Hiki ni kichocheo kinachozalishwa na mwili na kutokana na matendo fulani au vitu fulani vinavyoupatia mwili raha au zawadi, mfumo wa ubongo unaohusuka na kutengenezwa kwa dopamine...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu watanzania. leo hii nimekuja na makala haya yanayozungumzia wasiwasi na jinsi gani tunaweza kuepukana na tatizo hili.Kwanza kabla ya yote ni kujua ni nini wasiwasi. Vijana...
2 Reactions
5 Replies
9K Views
Mdomo sungura ni nini? Mdomo sungura (cleft lip and palate) ni aina ya ulemavu unaosababishwa na sehemu ya uso na mdomo kushindwa kufungwa mtoto anapokuwa akitengenezwa akiwa tumboni. Tatizo la...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo. Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Salaam kwa wote wana jamvi.Naombe niende kwenye maada.Naomba msaada mwanangu ameungua na chai,nini dawa nzuri ya kienyeji na kisasa,nimepeleka hosptali amesha pewa huduma ya kwanza.Msada wenu ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
kuumwa kichwa upande mmoja hasa komwe jicho moja likatoa machozi lenyeww pua moja ikatoa mafua yenyewe kisogo na sikio moja kuuma lenyewe hii inasababishwa na nini? yaani hivo nilivo vitaja huuwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za mda huu wana jf doctor niende kwenye mada ni kwamba nina mtoto wa kike wa mwaka mmoja na mwezi mmoja tatizo mtoto hataki kula,tumemjaribu kila aina ya chakula,ila ukimrisha...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
*Trained community health workers working with Thamini Uhai (Value Life) campaign to promote the benefits of family planning* (16 June 2015, Dar es Salaam and New York) – A news conference...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia kuwa mtu akifanyiwa upasuaji na kuondolewa bandama mtu anakuwa hawezi kucheka. Je ni kweli huwa hivyo? Na nini kinasababisha kuwa hivyo?. Wataalamu; naombeni mnielimishe juu...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Nimekua mshabiki sana wa kula karanga mbichi sikuhizi, Ila nimekua nikizibwia pamoja na maganda yake mana kuzichambua zinakua zinaleta shida. Je maganda yake hayana madhara yoyote kiafya ?
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Nimekua mshabiki sana wa kula karanga mbichi sikuhizi, Ila nimekua nikizibwia pamoja na maganda yake mana kuzichambua zinakua zinaleta shida. Je maganda yake hayana madhara yoyote kiafya ?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanajf naombeni ushauri coz kama mwezi wa 7 hivi nilikuwa na arosto +pombe nilijikuta nimelala na mwanamke nisiye mjua naombeni mniambie kwa kupiga bao moja na weza pata ukimwi? Na je dalili...
2 Reactions
16 Replies
41K Views
Back
Top Bottom