Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nasumbuliwa na endometritis,nimetumia sindano aina ya powercef lkn tangu nilipoanza kutumia sijapata hedhi ya mwezi huu na pia kula yangu ni ya shida sana,nimekuwa mtu wa kuchukia chakula na pia...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Naomba ushauli kuhusu ndugu yangu. Anasumbuliwa na pumzi kutokufika kwenye moyo.ameshapimwa presha,x ray na ultrasound. Majibu Hakuna ugonjwa. Ukimtazama ana afya nzuri natatizo hili likumshika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za leo Wakuu? Naomba msaada kwa hili , Je Mwanaume na Mwanamke wanapotaka kukutana kimwili Mwanaume anaweza kuvaa Kondom Mbili kwa wakati mmoja ili kujikinga zaidi na maradhi?
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Jamani mimi ninatatizo la uzazi, mirija ya uzazi imeziba siwezi kupata mtoto. Ndoa yangu ipo matatani, daktari amesema mrija mmoja umeziba na mwingine ni mild. Amenipa dawa nitumie kwa miezi...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
7 Dont's after a Meal 1. Don't smoke- Experiment from experts proves that smoking a cigarette after meal is comparable to smoking 10 cigarettes (chances of cancer is higher). 2. Don't eat...
0 Reactions
34 Replies
49K Views
Kuna uvimbe kwenye kichwa naomba munifahamishe na tiba yake ni nini
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau habari za asbh, Naomba kuuliza nn kina sababisha mtoto mchanga kubonyea kichwani sehemu ya mbele? Na je ni tatizo kubwa? Kama ni tatizo ni nini suluhisho lake?
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Jinsi kuongeza uumee uwe mnene nifanyeje tafadhali Ikisimama uwe ni nchi 6 shida unene tu
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Tatizi hili huwatokea zaidi wanawake walio kaika umri mkubwa ingawa pia linaweza kutokea katika umri mdogo.Tunapozungumzia kulegea kwa misuli ya uke hapa kuna tofauti kidogo na kutanuka kwa misuli...
1 Reactions
55 Replies
123K Views
habar wadau nauliza ni ipi tiba ya taifod sugu..... Sasa nmeugua taifod mara kwa mara toka mwaka uanze n mara ya tano nkitumia dawa napoa baada ya mwez inarud... Nakunywa maji yalochemshwa jpo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
VVU huathiri sehemu nyingi za mwili wa mtu. Vinaweza kufanya hivyo kwa njia mbili. Njia ya kwanza ni kwa kushambulia moja kwa moja viungo mbali mbali, njia nyingine ni kwa kudhoofisha mfumo wa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
naomba kujua kuhusu hili tafadhali na pia naomba kujua ni njia gani itumike kuondoa tatizo hilo? nazungumzia kichaa cha mimba baada ya mwanamke kujifungua
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Mtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa. Shida ipo kwenye kucheka akicheka...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Sugua kidogo sehem iliyo na tatizo saga CHUMVI iwe laini paka.
1 Reactions
14 Replies
27K Views
Habari za mwaka mpya wanajamii wenzangu ,natumai mu wazima mwaka huu tumevuka salama Ni mara ya kwanza najitokeza jukwaa hili kuomba ushauri au msaada wa matatizo yanayonisibu mwenzenu Umri...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Salam wanajamvi; Leo napenda kwa ufupi tuangalie juu ya matumizi haya mabaya ya dawa ya kushusha presha almaarufu kama viagra kama kichwa cha nyuzi yetu kinavyojieleza. Viagra ni dawa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Habari wana jamiiforums! Mm kijana wa miaka 24 nimepata tatizo kwenye korondani yangu ya upande wa kulia maana inauma Sana na nikijaribu kuifinyafinya Kama Kuna uvimbe ambao nikifika hilo eneo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mmeamkaje wadau wa jf? Leo nmeamka salama lkn roho inauma yaani inadunda dunda sana. kila nikitembea najikuta nastuka mwenyewe na kua na khari ya hofu hofu.. na sina tatizo lolote sa sjui...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Haya maneno huwa yananichanganya sana si mimi tu bali hata watu wengineo. Ninavyofahamu tabibu-ni yule mganga mwenye taaluma ya uganga wa diploma ama advanced diploma kwa kimombo C.O au...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Madoctor, wataalamu na wote mlio na uelewe wa ugonjwa huu naombeni mnipe majibu. Google imeniacha na maswali. Huyu bwana ameugua kisukari kwa muda mrefu sana, figo zishafail anafanyiwa dialysis...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom