Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu. Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm Pumu Maumivu makali wakati wa hedhi Hufiki kileleni both me & ke Kifua kinakubana. Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Habarini Wanajamvi.. nina tatizo la kusikia kizunguzungu na kutapika endapo tu kama nitafanya kazi yeyote ya kufanya nipumue kwa haraka au nikifanya mazoezi ya kukimbia haitonichukua dakika 30...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wana jamii forum, naomba mwenyekujua hizo pills za phertamine vinapatikana wapi kwa Tanzania maana nimesikia zimepitishwa na shirika la afya duniani kuwa zinasaidia kupunguza uzito sasa...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Raw Organic Apple Cider Vinegar (ACV) is made from nutritious, organically grown apples and retains many beneficial components because raw apple cider vinegar is not pasteurized. ACV undergoes...
1 Reactions
17 Replies
24K Views
Wiki iliyopita Nilimtahiri mwanangu wa miaka miwili kasoro. Chakushangaza wenyeji wangu huku mtwara wananilaumu eti nimemuwahi kumtaahiri mapema. Eti hii itasababisha mwanangu aje kuwa na uume...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanajamvi naombeni mnijuze, kuna madhara gani yanayoletwa na uvutaji wa kaya? mentally and physically, na kama kuna faida yake, wenye ujuzi na hili jamani tunaomba mtufunze nasi. ======== Tumekua...
0 Reactions
63 Replies
76K Views
Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani Naombeni mnielekeze dawa ya kutibu hili tatzo wapendwa.
1 Reactions
46 Replies
23K Views
Ningependa nitoe maoni yangu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza nikilenga magonjwa aina mbili kisukari na shinikizo la juu la damu. Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la magonjwa haya hususani kipindi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kutafakari kwa kina nimegundua UKIMWI sio ugonjwa ila ni biashara ya big pharmaceutical industries. Hebu jaribu kufatilia na wewe, kwanini ugonjwa huu umepewa kipaumbele kikubwa hivyo na...
14 Reactions
154 Replies
17K Views
Ana ujauzito wa miezi 5,nimejaribu kwenda hospitali mara kazaa wanasema ni hali ya kawaida.japo mtoto anacheza vizuri tu ila hii hali inanifanya nikose amani.kwani kabla ya hapo huku nyuma...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nahitaj kujua daktari mzuri wa kinamama hapa Dar es Salaam. Awe anatumia NHIF nahitaji msaada ikiwezekana na contact ili niweke appointment ya kumuona
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda Gani dalili kuonekana kwenye uume? Maana duu, Msaada wenu ni muhimu wajuzi Muwe na asubuhi njema
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa wenye tatizo la tezi dume ni pm nikuelekeze kutengeneza dawa bure au nitext whatssap kwa namba 0628944712 nikuelekeze kutengeneza dawa bila malipo hata ya shilingi moja. Ukihitaji...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Naomba mnisaidie dawa ya chunis
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini!? Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa tatizo ni kuwa sina hamu tena na tendo sina kabisa sijisikii chochote...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Haemophilia nini sababu na jinsi yya kuepuka machapisho mengi naona yako kwa lugha ya malkia ambayo sielewi vizuri.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Doctors hi,samahani et UTI inaweza kuathiri mfumo wa uzazi?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu na poleni kwa majukumu Naombeni ushauri wenu, nina kiuvimbe shingoni upande wa kulia kimenitokea toka mwezi wa 3 mpaka leo hakijaisha. Pia naskia maumivu kwenye koo kama vile na...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
habarini jamvini
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Back
Top Bottom