Wadau wa afya salam.
Nini chanzo cha mtoto kuwa na kitovu kikubwa kama puto? Na je, mtu akisha kuwa na kitovu hicho, kuna dawa ya kukifanya kiwe kidogo?
Mtu anaweza fanyiwa upasuaji kukiondoa...
Wakuu hii link nimeitoa sehem, yupo jamaa anakiri dawa yake ya 3deops inatibu magonjwa mengi gusa link uingie muulize chochote kuhus magonjwa na tiba njoo tujifunze kwa pamojaCLICK TO JOIN...
Hello wakuu, naomba kuuliza hivi mbona siku za hivi karibuni matangazo redioni ya kupima na kuanza kutumia ARVs mapema yamekuwa mengi sana na haipiti sekunde, tangazo hilo hapo, mbaya zaidi kwa...
Hello Jf
Nina mtoto ana miezi miwili, siku ya leo amenisumbua mno. Anakua kama kuna kitu kinamkera sababu halii ila anajikuna kichwani na kukunja sura nikichelewa kumshika analia japo sio kwa...
Wadau habari za kazi,
Naombeni msaada, nina binti yangu wa miaka 8 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa. Akianza kuwashwa anajikuna sana,tumeisha enda baadhi ya hospitali lakini bado ufumbuzi...
Naliweka hili kama elimu kwa wengine
SWALI:
ASSALAM ALAYKUM.
KUNA TATIZO KUBWA LIMETOKEA NA NDOA IMEVUNJIKA NAOMBA UFAFANUZI WA KISHERIA
NINA NDUGU YANGU MWANAMKE JINA NALIHIFADHI...
Nina mke ambae tumebahatika kuzaaa mtoto mmoja tangu 2014 lakini kwa bahati mbaya aliweka vijiti kama njia ya uzazi wa mpango lakini nimekuwa nikimshaghuli kuhusiana na kupata mtoto mwingine...
Habari ndugu wanajamii forums mie ni mgeni humu ila nashukuru kwa topic zenu. Shida yangu kubwa ni kutaka kujua kama endapo mtu unaamua kujitolea msaada figo kwa wagonjwa wenye tatizo, hata kama...
Hi Jf members..
Naomba kuuliza kuusu wavaa miwani wanaposhauriwa kubadirisha vioo baada ya muda furani.. Shida ni kwamba Lens za mawani ndio uwa zinaeExpire au tatizo la macho ndio linakuwa...
Habari zenu wana jukwaa
Naomba msaada au mwongozo wa namna iliyobora ya kupata faili la mgonjwa wangu kutoka hospitali.
Ipo hivi, nina mgonjwa ambaye alikuwa anapata tiba specifically masuala ya...
Mazoezi kila siku ni bora kwa ajili ya afya yetu na ni moja ya ushauri tunaopatiwa na wataalamu wa afya.
Mama mjamzito pia anapaswa kufanya mazoezi ili kujikinga na baadhi ya magonjwa kama...
Wasalaam Wakuu wa Kaya,
Moja kwa moja niende kwenye kilinichonituma kujitwika nyuma ya keyboard na kuanza kushusha madude.
Kama wengi tunavyoufahamu ugonjwa huu uliopata umaarufu sana hapa...
PROSTATE CANCER TREATMENT.
1. B-CAROTENE & LYCOPENE CAPSULE
A) supplements body with vitamin A
B) serves as a strong antioxidant which deactivetes free radicals
C) prevents cancer,especially...
Unapotumia mikono kulia chakula, vidole vinatoa enzyme ambayo inasaidia ku activate digestion juice ndani ya tumbo. Unaponawa mikono kuna friendly bacteria ambao hubakia kwenye vidole, hawa ni...
Eti wakuu ni wapi naweza kufanya kipimo cha DNA kwa hapa Dar es salaam, kuna ishu inanisumbua nahitaji suluhisho....
Kama unafahamu sehemu husika naomba taarifa au mawasiliano.
Ni muhimu...
Wakuu,
Naombeni kufahamu ni mazigira gani yanaweza pelekea kupata maambukizi ya hivi ukiwa ili hali amevaa kinga.
Nalenga kujifunza zaidi maana tahadhari ni nzuri zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.