Wiki chache zilizopita ,x wangu mimba iliharibika na sasa mwezi umeisha bila kuziona siku zake ,je inawezekana ana ujauzito au niendelee kusubiri mabadiriko ya mwili Nawasilisha wapenzi...
Habari,
Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia...
JAMANI NIPELEKE WAPI HAYA MALALAMIKO?
Naandika hii post nikiwa na uchungu mkubwa sana kwani ndionimetokea West Kilimanjaro kumzika mjukuu wangu aliekuwa na umri wa miezi sita. Hakika huyu malaika...
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!
Mdau
Katika mizunguko ya dunia hii huwa tunakumbana na matatizo mengi yanayoumiza moyo na ubongo
Kwa mfano kufiwa na mtu wakaribu; kufukuzwa kazi 'shule kukamatwa na kufungwa kwa sababu mbalimbali ...
Ndugu na jamaa masalaam:
Naomba msada kutoka kwa yeyote yule aneweza kunitafsiria hizi dawa kwa lugha ya kingereza:
Shubiri
Bakalhadi
Uwatu
Habbal sauda
Manimani
Ahsante sana
Ni kweli kwamba kondomu zinasaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa ya zinaa na ukimwi. Lakini watu wengi matumizi. sahihi ya kondomu hatuyajui.
1.Mtu unanyonya sehemu za siri then wakati wa...
Salaaam wakuu
Straight to the point mm nina tatizo hili la muda mrefu ambalo nina matumaini kuwa siku moja litaisha kama ninavyosikia kwa wengine ..
kigugumizi hunijia ghafla hasa napokua naongea...
Habari zenu wanajukwaa.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27, Kuna hii hali ambayo ninayo nahisi si ya kawaida nahitaji ushauri wenu.
Toka nipo shule ya msingi wenzangu walikua...
Habari zenu.
Mimi naombeni msaada mwenye kujua zaidi kazi ya nywele katika sehemu za siri ni nini. Hasa pubic hair kazi yake kuu ni nini maana hata uliyatoa hamna madhara.
Nimefanya kuangalia...
Seriously hili tatizo kubwa linalonisumbua usiku na mchana
Ikufika taim ya kulala kuupata usingizi ni vita kwa kweli na nikishtuka usiku kazi ni ile ile
Sometimes ni tatizo dogo tu ila litakaa...
Kwa mwanamke ambaye hafurahii tendo la ndoa,atumie dawa gani,yaani hafurahii wala kufika kileleni hata ukipiga mpaka asubuhi!!
Madaktari msaada tafadhali!!
ssalam wakuu,
nadhani mu wazima wadau, niende direct kwenye mada, kuna kijana wa miaka 26 kila akipanda gari hasa daladala kwa umbali wa Gerezani hadi Gongolamboto na basi za mikoani huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.