Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za mida hii wazee wa MMU Kama mada inavyojieleza Hili tatizo linaibuka Mara kwa Mara Wiki iliyopita nlikutana na demu wangu ni dogo tu wa miaka 19 na ndo nlimtoa bikra,nlipiga sana game...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Hello Wana GT NATUMAINI hamjambo. Naombeni kama Kuna mtu Yuko India anakuja TANZANIA naomba nimpatie number ya simu ya mtu ambaye anauza dawa ya mitishamba inayoshusha kisuKari na Ukiitumia Kwa...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu,Nina Dada yangu anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sana huwa akienda kupima anaambiwa kuwa ni UTI na Typhoid basi anapewa dawa anatumia tatzo linarudi vile vile ni zaidi ya Mara tatu kila...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
wakuu habar zenu, since i broke up with my girl nimekuwa napenda kula vitu vyenye test ya kusisimua to relax my mind.. kutafuna majan ya mwarobaini hasa nyakt za jioni kula vitunguu swaumu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nimechangia damu katika hospital moja hapa jijini,lakini ji takribani wiki sasa mkono bado unauma,msaada tafadhali kwa anaejua sababu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Friendly bacteria wanaishi mwilini lakini hawana madhara na wana faida nyingi. Friendly bacteria wana 1. Imarisha kinga ya mwili na huzuia cell division ambayo ndiyo chanzo cha kuenea kwa cancer...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Wengi tunafahanu umuhimu wa watoto kunyonya maziwa ya mama hasa katika miezi sita ya kwanza baada ya kuzaliwa. Maziwa ya mama ni muhimu kwa ku activate immune system ya mtoto, Bahati mbaya kuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mada tajwa hapo juu,naomba msaada kwa walio na ujuzi kwa hili..!Mke wangu amepasukiwa na chupa ya uzazi na mtoto kufariki naye hali yake si nzuri kuanzia ijumaa ya 10/8/2018.Jana jumatatu ameanza...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi Jf doctors Nimeshtuka juzi hapa naona mvi 3 kwenye ndevu wakati ndevu zenyewe za mawazo. Nimeuliza watu wanasema eti na dalaili ya kua na hela mingiii. Haziwezi kuwa nyingi kidevuni? Hazina...
3 Reactions
84 Replies
15K Views
Napata hamu siku Niko period tu .ikiisha wala sijiskii hata.japo sina mtu ila hamu iwepo jamani nijione mkamilifu.naombeni tiba isiwe mayai yameisha huko ndani.
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Kula na kunywa katika masaa machache za kwanza Kina mama wengi huwa tayari kula mara baada ya kujifungua, na ni vizuri kwao kula aina yoyote ya lishe bora wanataka. Ikiwa mama ambaye anazaa mara...
3 Reactions
2 Replies
9K Views
Kwa kifupi ni kwamba kuna vishilingi veupe ambavyo huongezeka ukubwa lakini haviumi , vinanitoka mara kwa mara upande wa kulia wa kinywa changu, nimeenda hospital nimetumia dawa nyingi tu lkn huja...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa kutambua athari, faida na namna sahihi ya matumizi ya chai itengenezwayo na mmea wa roselle maarufu kama Hibiscus kwa mwanamke mjamzito wa miezi 6>. Nipeni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wapendwa , naombeni msaada wa mawazo kuna mdg angu alifanyiwa ultrasound mimba ikiwa na wiki 7 je hii ni sahihi? Maana anamashaka na hili
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari za mihangaiko ndugu zangu wa humu ndani... Naomba kujua kama hili jambo kama huwa linatokea kwa kila mtu, huwa nikitafuna JoJo kwa mda mrefu huwa nahisi njaa hata kama nimekula mda mfupi...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Ni inaniuma Sana Sana nikimwangalia dogo.Nimehakiki kuwa ni kweli dogo amezaliwa na maambukizi.Sasa naomba msaada wa kama wa uangalizi wa karibu na huduma.Ndo Kwanza yupo darasa la pili. Yupo...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari Wana JF! Nimekuja na swali la kitabibu na natumai wana Jf wenye ufahamu juu ya hilo watanipatia majibu stahiki. Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kuenea kama si kukua kwa ungojwa...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habarini! Nimepata tatizo tajwa hapo juu tangiwa nikiwa form five 2017 kwenye mwezi wa tatu. Nikaenda mnazi mmoja pale nikamwelezea Doctor,aliniandikia dawa na kunihasa nifanye mazoezi. Ila tatizo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa na tatizo la Mmba mgongoni kwa muda mrefu, zilianza kama mabaka niliyapata nikiwa nafanya mazoezi, benchi nililokuwa nalalia kwenye mazoezi lilinikwangua likaacha michubuko baadae...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Figo zina jukumu kubwa katika mwili, siyo tu kuchuja uchafu kwenye damu ili kuepukana nao, pia kuratibu madini yaliyomo ndani ya damu, shinikizo la damu na kuchochea uzalishaji wa chembechembe...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom