Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu. Huwa nikisoma vikaratasi vya maelekezo ya dawa, nakutana na ingredients zilizotumika kutengeneza hiyo dawa. Najiuliza, wanaotengeneza dawa wametengeneza hiyo dawa kwa kutumia...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Ni kuhusu HIV, wengi huu ugonjwa umetuathiri kama sio sisi basi ndugu zetu wa karibu. ARV’s kwa kweli amekuwa mkombombozi na wengi wanaishi kwa miaka mingi tena wakiwa na afya njema. Ukiwa...
1 Reactions
10 Replies
853 Views
Habari... Nina tatizo la kuhisi kiu ya maji kila baada ya dk 10-20 kwa wiki mbili sasa. kwa siku nakunywa maji lita mbili na nusu mpaka tatu, kiufupi najitahidi sana kunywa maji hata kama sina...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu age 26 kwa kifupi nina maisha mabaya mno especially kwenye saikolojia kwan nimekuwa nikisumbuliwa sana na msongo wa mawazo, napiga sana punyeto ntajitahid kuacha ...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA Habari wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale. Sijui hata nianzie wapi muweze kunielewa. Mimi ni kijana umri 26 muhitimu wa chuo kikuu kwa sasa nipo tu nyumbani...
4 Reactions
99 Replies
11K Views
Wakuu naomba mnaofahamu njia au vyakula vya kuongeza mbegu za kiume.Naomba nieleweke ni mbegu na sio wingi wa shahawa.Pia kuongeza speed kwa zile zinazoenda kwa speed ndogo.Nitashukuru sana kwa...
0 Reactions
23 Replies
78K Views
Emotional pain huwezi kuziekezea, tunapambana nazo bila ya watu wa karibu na sisi kuekewa. Ni rahisi kumcheka mtu kuwa dune zima limejiua huelewi kilichopelekea dume zima kufanya vile. Kuna...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wana jf nimekua nikipata Mambo mengi ya kunifunza hapa, ombi langu la Leo naomba kufaham kuhusu sindano ya ant D kuwa ni miezi gani ni sahih kwa mke kuchoma hyo sindano kwa mimba ya pili kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Baba yangu mzazi alikuwa na historia ya kusumbuliwa na BP na hatimaye akaanza kupata dose kila siku. Baadae akaacha kutumia dawa na kumsababishia kuanguka disemba 2017 na kumuwahisha hospital...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Wanawake na wanaume wengi walio nje au ndan ya ndoa hawajui cku gan wanamke anapata mimba,ufanya tu kwa kubahatisha leo ngoja niwatie kwa class kimya naomba mnisikilize hata kama unajua bac...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa wanawake wengi hawajui dalili mojawapo ya kupungukiwa nguvu za kike ni kujinenepea bila sababu za msingi.
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Wakuu naomba madaktari mnisaidie kuhusu tatizo langu hili ambalo kimeanza kunisumbua hivi punde. Nashindwa kuelewa naweza kuwa na tatizo gani.
0 Reactions
36 Replies
24K Views
haya manywele yananipa karaha. Kila nikinyoa upele huo.utakuta kila siku najikuna hadi najichubua.hadi staman kunyoa. Nini dawa au nifanyeje ili niondokane na hii hali. Naomba msaada.
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Hili linaweza kuwa ni tatizo gani? Ama ni ugonjwa upi na unatiba?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
nawasalimu wakuu wa jukwaa hili. Heshima kwenu. Nilikua naomba ushauri. mimi na mke wangu tumefunga ndoa siku za karibuni, na wote tumejiajiri, hivyo hatuna health benefits nzuri wanazopata...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
What do you think
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Habarini wakuu. Nini tiba ya mfupa uliovunjika zamani na kupona kusikia baridi ukiwa maeneo ya baridi kali kama Mbeya, Iringa na Arusha. Ukiwa maeneo ya joto kama kanda ya ziwa au Dar baridi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF habarini. Napata maumivu makali ya kiuno hasa ninapotembea au kusimama kwa muda mrefu na pia nina tatizo la mguu mmoja huwa kama natembelewa na wadudu kwa ndani/kufa ganzi hasa wakati wa...
0 Reactions
14 Replies
18K Views
Back
Top Bottom