Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari. Naomba kujua kama naweza pata matibabu kwa dawa asili kwa uvimbe wa kwenye koo Polyp . Kwani hadi sasa nishafanyiwa operesheni mbili na uvimbe umerudi tena.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
KANSA ya kizazi husababishwa na virus vijulikanavyo Kama human papilloma. Hivi virus huathiri viumbe vilivyo kwenye jamii ya wanyama na kila aina ya virusi vina aina maalum ya mnyama...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanini inaitwa Mwaisela?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Mgonjwa yoyote aliyeko Kitandani kabla ya Kufa husema sana na mara kwa mara haya maneno yafuatayo hivyo kama ukiyasikia jua kuwa maandalizi ya Msiba yanatakiwa yawe ya haraka sana na taratibu...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Tangu tarehe 26 nimeanza kuwa na dalili zifuatazo; .Kuumwa kichwa .Kukosa hamu ya kula .Homa kali natetemeka sana .Nakuwa nahisi mishipa ya upande wa kushoto kwenye moyo inakaza japo kwa mbali...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Nina kama miaka 10 tangu nijiunge kwenye chama cha (CHAPUTA), nimeshajaribu sana kujitoa lakini nashindwa. Hii hali ya kujichua naona inaanza kuniletea shida, nikiwa ndani ya uwanja wa 6/6 mpenzi...
1 Reactions
76 Replies
9K Views
1.Hore houd 2.Horseradish 3.Hyssop 4.Hawthorne 5.Crave root 6.Gota kola 7.GinSeng 8. False unicom 9.Elecampane 10. Dong Quai
0 Reactions
1 Replies
2K Views
vipi nitalimaliza wakuu, pamoja na tumbo kujaa gesi mara kwa mara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf doctor. Bila kupoteza muda Ningependa kwenda moja Kwa moja kueleza juu ya tatizo linalonisumbua kwa muda mrefu sasa Nina tatizo la kutokwa na vidonda vya mdomo na katika ulimi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wapendwa, nilikuwa na tatizo la Apendex, na Mungu mkubwa nimefanyiwa operation hii wiki iliyopita, Ila Baada ya kuchomwa ile sindano ya usingizi, Anesthesia baada ya kuamka nikawa naona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je, kupata huduma nzuri za afya kunamaanisha kwenda kliniki kila juma? La, si lazima. Shirika la Afya Ulimwenguni liligundua kwamba wanawake walioenda kliniki mara nne tu wakati wa ujauzito...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Habari wakuu, Kuna mtu ana matatizo ya high cholestral yanayosababishwa na kula mafuta ya viwandani swali langu je ni mafuta aina gani ambayo anaweza kutumia ambayo hayatamletea madhara? na hapo...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Ma Dr. na wajuzi wa mambo, hili swali limekua likiniumiza sana kichwa, majibu niliyopata Google hajakunifanya niishie hapo... Kwanini rangi ya kijani?
5 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari wana JF. Naombeni msaada wa mawazo ama tiba. Jinsia yangu ni ME, umri 30. Sentimita moja au mbili hivi kutoka kitovuni (upande wa kuelekea juu) kuna kauvimbe kanakuwa kanatokeza na...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
"Nanukuu Unaweza kuishi mpaka miaka mia kwa kutumia mdalasini na asali. Matayarisho vijiko 4 vikubwa vya mdalasini changanya kwenye maji vikombe 3 koroga kwa dakika 10 kunywa robo kikombe mara 3...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Habari za asbuhi wapendwa, kama mada ilivyo hapo juu. Ninasafari kikazi nje ya mkoa ambay itanichukua zaidi ya cku kumi ambapo ndani ya hizo siku trhe yangu ya clinc itatimia na kupita kama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni siku za karibuni amekuwa akilalamika kuwa akiamka asubuh huwa anatoa hewa inayoambatana na sauti hvi hki ni ktu gani?
0 Reactions
81 Replies
82K Views
Mtoto wa miezi 4 analia sana usiku amechoma sindano wiki 2 zimeisha tumempa amoxilin wapi nasasa tumempa sefalexin kikohozi bado kinaendelea Juu ya yote Analia sana usiku kwa kushtuka kila baada...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Nilipatwa na maumivu ya tumbo na wiki iliyopita nilienda moja ya hospitali zilizopo hapa Dar. Baada ya vipimo nikagundulika nina appendicitis. Baada ya kugundulika, daktari...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom