Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari wana jf: naomba kusaidiwa juu ya tatizo alilo nalo mke wangu.....mda ulipowadia wa kushika mimba mimi na mke wangu tulikutana kimwili......baada ya mda dalili zote za kuonyesha kuwa ni...
0 Reactions
39 Replies
15K Views
Wakuu habari, Naomba msaada, Kuna dada yangu amejifungua wiki iliyopita lakini mtoto mguu wake umepinda ya kwamba pindi akianza kutembea atakuwa anakanyagia kwenye kifundo kwa pembeni. Naomba...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wana JF, Kulikuwa kuna post moja juu ya habari za mwanamke kufanya mapenzi na maiti kisha kupata mimba iliyopostiwa na JamiiForums nami nikawa na maswali mengi nikaona nilete hoja mbele...
2 Reactions
108 Replies
12K Views
Habari wakuu Naomba Msaada jinsi ya kusafisha meno kwa njia ya asili au yoyote ile na yaka ng'aaa vizurii
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Doctor, if you can help, I am experiencing severe itching down my testicles. kwa kweli nimepata tiba waapi, pharmacy nimepewa tube nipake waaapi. Kama ni kufuli nabadilisha kila siku moja...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana ndugu, kama kichwa kinavyojieleza nina mtoto wa mwezi moja na wiki kama tatu sasa kitovu chake kimejaa hewa yaani ukikibonyeza unasikia sauti kabisa kwamba ndani kuna hewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HABAR WANAJF Ninasumbuliwa sana na mafua ila kila ikifika usiku nakohoa sana yaan inakua tabu yaani hii inanitokea usiku siku ya tatu hii msaada tafadhali
2 Reactions
27 Replies
12K Views
Nasumbuliwa na mafua kila ninapoamka kila siku. Lakini ikifikia mda wa mchana au jioni yanapotea. Nikiamka siku ya pili tena vilelevile. Naomba ushauri. Tatizo ni nini hasa, na suluhisho lake.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada juu ya hili tatizo la wale Dada zetu waliotoboa masikio lakini wakaota nyama kwenye masikio yao. Je kwa operation, hizo nyama zinaweza kupotea moja kwa moja?. Kuna dada mmoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Nimeona niwashirikishe hili ndani ya wiki hii nzima takribani nimekumbwa na tatizo la miguu na leo imeanza bega kuuma sana. Mpaka swala la movement linapungua.Kama kuna yeyote...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Madaktari wa humu ndani poleni kwa kazi kubwa ya kutuelimisha sisi. Ninaomba kufahamu ninamtoto mmoja ambaye inasemekana bega lake lina tatizo kwa ndani sasa madaktari wanashauri afanyiwe x-ray...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna njia ya kutumia brace ili kupanga meno vizuri mdomon , Kwa wale ambao mlishatumia hii njia mtupe uzoefu na ushauri kama kuna hasara zipi, ni mda gan ulivaa brace, ni wapi hapa Tz huduma hii...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Wanajanvi naombeni kupata ukweli halisi kuhusu hizi mbegu za kiume na kike X and Y, wataalam wanatuambia kuwa mwanaume huyo mbegu X na Y na mwanamke hutoa Mbegu sina ya X pekee, sasa napenda kujua...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika kuhabarishana kinachoendelea kuhusu HIV ni kuwa wenzetu katika nchi zilizoendelea wameanzisha utaratibu wa kuwapa raia home test kit ili wa kipimo wenyewe nyumbani. Kit inakuja na maelezo...
7 Reactions
34 Replies
6K Views
Wanajukwaa naomba kujua dalili hasa za Typhoid..maana nimeanza kusumbuliwa na Tumbo toka jana na Mwili kupata Joto na koo kuuma.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF siku hizi nimekua kama nina katatizo kamenianza sijui ni tatizo au uginjwa yaani nikiwa naongea na msichana nikitoka baada ya muda natokwa na ute wa shahawa na muda mwingine...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Vipo vitu vingi sana ambavyo mwanaume anatakiwa kutumia au kufanya ili kuongeza mbegu unaweza kusema namna bora ya kustawisha mbegu za manaume ili ziwe na rutuba nzuri. Miongoni mwa vitu hivyo ni...
4 Reactions
35 Replies
23K Views
Nchi jirani wetu wote wana matatizo na ni threats kwa afya za watu wetu. Kuna Congo, Burundi na Uganda zote hizi haipiti muda utasikia magonjwa yamezuka na ndo hapo tunapoanza kuhaa na kuzuia na...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
Wakuu hili jambo limenishtua kidogo maana rafiki yangu kamsafirisha mumewe kwenda nje ya nchi kufanya huo upasuaji. Sitaki kuzungumzia kilichopelekea kuchukua uamuzi huo, hofu yangu ambayo nataka...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Yapata mwezi mmoja sasa nawashwa koo na kukohowa isivyo kawaida baada ya kuingia chumvini. Siku chache baada ya kuingia chumvini kwa binti mmoja alinitaarifu kuuwa alienda kupima afya na kupewa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom