Wasaalam ndugu zangu wa jukwaa hili
mwanangu ana miezi 9,hvi karibuni amekuwa akiharisha sana na kutapika sana,nlipompeleka hospitally alipewa dawa za kutumia lakini mpaka zimeisha hajapata...
Je, makundi ya damu kati ya mtu mweusi(mwenye asili ya Africa) na mzungu au mtu wa race nyingine yataendana tunaweza kuongezeana damu?
Na kama jibu ni NDIO kwanini bado kuna ubaguzi kwa watu weusi?
Nilifanyiwa upasuaji miaka miwili iliyopita, nimekuwa nikipata hali ya kuwashwa mshono nyakati fulani fulani, ikiambatana na maumivu kiasi.
Je, hii husababishwa na nini na kuna tiba yoyote?
Habari wadau. Natumaini hamjambo.
Nimanzisha uzi huu maalum kwa wapenda mazoezi woote na wenye nia ya kupunguza uzito. Tunaweza kushirikishana mambo mbali mbali ikiwemo aina nzuri ya vyakula...
Utafiti unaendela kuhusu matumizi ya bangi athari zake na faida yake.
Cha kushangaza kuna wasomi wazito wamegundua kuwa Bangi au Canabis ikitumika katika jamii tokea enzi za mitume ikiwemo enzi za...
wadau kama mlivyosikia kuwa serikali imepata kibali kutoka NIMRI kufanya majaribio ya dawa ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI,wakiwa na mpango wakuanza na mikoa 14 ikiwemo mkoa wa mbeya huku wakilenga...
Nimekua nikiskia kama stori tuu ila sina uhakika.Ivi ni kweli kua wakati WA usiku kuku huwa anakua na Sumu mdomoni mwake kwaajiri ya kujirinda?
Anaefahamu naomba anisaidie tafadhari.
Waungwana leo nimeufya nimekutana na hili JANGA sasa vijana wenzangu hapa baada ya bint mwenyewe kunieleza ukweli na kunionesha Card ya Clinik ndipo nimeamini ila ndio wakati nimeshaanza...
Ndugu wapendwa, naomba msaada wa hii inaweza kuwa nini. Ninapata KIUNGULIA kikali kooni pindi ninapokula maharage. Kawaida KIUNGULIA kina kuwa kwenye kifua. Nikiacha kula maharage hali hiyo...
Wadau ivi maumivu ya mishipa sehemu za uume na mishipa inayoshabiana na Kende husababishwa na nini maana nilikuwa napiga sana nyeto sasaivi nimeacha napata hali hii sasa jee Tatizo hili litaacha...
kumekuwapo na njia mbali mbali za kubashiri jinsia ya mtoto alieko ndani ya tumbo la mama mjamzito,baadhi wamekua wakisema eti mimba ikisumbua sana(mjamzito kupata shida mara kwa mara) ujue ni...
Habari wana jamvi eeti kuna uwezekano wa kuchagua jinsia ya mtoto mana kuna rafiki yangu anawatoto wa kike pekee anatamani angepata wakiume hajui afanyeje ....?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.