Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wanajukwaa, karibuni tuelimishane juu ya mtindo wa maisha na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Utangulizi Kwa mujibu wa shirika la Afya duniani (WHO), mitindo ya maisha isiyo bora ndio chanzo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Sisikii, linauma kwa nje kama vile nimepigwa, linalia tiiiiiiiiii.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za Leo wana JF. Niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu,Nina mpenzi wangu ambaye ana ujauzito wa miezi mitano kwa sasa , ila usiku akilala Maziwa huwa yanatoka wakati mwingine hata akiwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
katika kutembea njiani mara kumbukumbu zikapotea nikahisi kama sio mimi huyu, kama vile nimekuwa mtu mwingine na kumbukumbu zikanitoa kwenye uhalisia kuwa nimekua mtu mwingine na niliwaza mambo...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
JIHADHARI NA NENDA HOSPITALI UKAPIME UKIONA MSTARI MWEUSI KWENYE KUCHA ZAKO. Ni vizuri mara uonapo mabadiliko yeyote yasiyokuwa ya kawaida katika mwili wako, kwenda kwa daktari na kufanya...
2 Reactions
30 Replies
25K Views
Habari zenu wapendwa? Napenda kuwashukuru wana JF wote kwa ushirikiano wenu na upendo wenu wa dhati kwangu. Mwaka Jana mwezi wa 12 nilileta uzi wangu nikiomba ushauri juu ya HIV. Ilikuwa ni...
4 Reactions
44 Replies
8K Views
Wadau najua humu kuna wataalam wa kila aina. Je faida ya nyanya chungu kiafya ni zipi, nimetokea kuwa mpenzi sana wa nyanya chungu (zile chungu kabisa) napenda kujua kama zina faida yoyote kiafya...
2 Reactions
137 Replies
82K Views
Wana jf, naamini siku zote ninyi huwa ni msaada mkubwa kwangu, kupitia jukwaa hili nimewasaidia baadhi ya wana jukwaa na ninyi pia nimesha wahi pata msaada wa maelekezo toka kwenu kwa ambayo kwayo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimefuatilia mijadala ya hii kinga iliyozinduliwa juzi sasa sijaelewa je wale ambao wanaishi na virus vya h. I. V je wao watajisikiaje na je kuna dawa imepatikana juu yao au laa?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kipindi kirefu sana tangu nipo shule ya secondary nilishawahi kukumbwa na tatizo kama hili maranyingi sana najua na wewe unaesoma huu Uzi nadhani umeshawahi kupatwa na tatizo kama hili yaani...
6 Reactions
69 Replies
15K Views
Habari wakuu nimekuwa nikititimia dawa za antibiotics takribani miaka miwili sasa lakin hivi karibuni naona zinaniletea madhara nataka kuacha kutumia kwan naona hari si shwari. Hivi karibuni...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wataalamu naomba kujuzwa ni muda gani baada ya mwanamke kupata ujauzito huanza kuona mabadiliko ya nje kama vile kutema tema mate, kubagua vyakula n.k. na inawezekana dalili hizi zikaanza kutokea...
0 Reactions
6 Replies
83K Views
Ambaye mtoto wake aliyefanyiwa upasuaji wa tatizo tajwa tafadhali tukutane hapa japo tubadilishane uzoefu juu ya malezi ya mtoto baada ya upasuaji!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wa jinsi ya kutumia hii dawa ya CIPLO kwa ajili ya typhoid. Nimemtuma mtoto duka la madawa,kaleta imeandikwa 1×2 sasa apa sielewi ninameza vipi
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mchumba wangu ana ujauzito ndo upo kwenye trimester ya kwanza ila amekuwa analalamika kupatwa na hizi shida - Tumbo kuwaka moto - Vichomi - Mdomo unakuwa mchungu - Halafu analalamika kichwa pia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
USIACHE KUSOMA UJUMBE HUU UNAWEZA UKAKUSAIDIA USIUPUUZE **************************************************** Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari naomba mwenyekujua anisaidie ni kweli herbal slimming tea inasaidia kupunguza uzito? aliye wahi kutumia ama alieshuhudia mtu natumia na kapungua anisaidie nahitaji kupunguza.
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Ni mda gani unaweza kwenda kupima ujauzito baada ya tendo la ndoa?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Wakuu? Mimi naomba watalaam haswa kama ni Dr uniambie vidonge navyoweza kumeza ili niweze kuongeza testosterone. Naomba nijue vidonge vizuri ambavyo vinapatikana maduka ya dawa hapa...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Wana JF, heshima kwenu wote, Imekuwa 'fashion' siku hizi kuona watu wengi kupenda kula nyama iliyosindikwa haswa kwa wale ambao wana kipato kinono au hali yao kiuchumi haijayumba. Nyama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom