Miaka ya ujima watu walitumia herbs na remedies kutibu magonjwa. Tiba nyingine ilikuwa maombi kwa Mungu. St Raphael ndiye Malaika aliyetumika sana katika maombi ya uponyaji.
Kwa Wakatoliki St...
Habari Zenu wakuu..
Naomba kwa Mtu au Doctr aliyeisoma au anayeijua Vizuri aniambie ipoje. Ni moja kati ya Programme niipendayo.
Sasa kama Yupo anaweza kuniambia Zaidi na Zaidi kuhusu...
Habari wapenzi!
Katika pitapita zangu nmekutana na video youtube inaelekeza namna ya kujitazama mkono wako ukatambua utazaa watoto wangapi, wangapi wa kike ,wangapi wa kiume. Ndoa nk
Sasa...
Wakuu salaam,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba kujua kutoka kwa wabobezi, madaktari na wataalamu wengine hili suala la mwanamke aliyefanyiwa upasuaji wa uzazi anaweza kufanya tendo la...
Habari wapendwa, mimi ni Kijana wa umri wa miaka 27, Naishi Dar ingawa kiasili si mtu wa hapa, Natokea mikoani. Jambo lililonileta hapa ni moja kuomba ushauri.
Kifupi nimekuwa na mahisiano ya...
Nasumbuliwa na jino limetoboka mm sitaki kulitowa naomb tiba ya kienyeji kwamaan wanasema watalam jino ukilitowa usipital linaanz lingine na kwel nimetowa jino la kwanz na saiz nasumbuliwa la pili
Salam wandugu.
Natumai mu-wazima nyote. Shukran, dhumuni la bandiko hili ni kama kichwa cha hii thread kinavyojieleza hapo juu.
Naomba kujuzwa kwa sehemu ya Morogoro ni wapi naweza kupata huduma...
Sorry hii inatokana na nini inanikera sana hii hali ukishapaka mafut mdomoni ili kulainisha mdomo baada ya mda Luna kuwa na utando nifanyeje ili hii hali isiwepo.
Ndugu zangu
Mara nyingi hunitokea ghafla nagusa/napiga mkono vitu vikiwa mezani. Mfano naweza kuletewa chai lakini ghafla kunakuwa kama mtu kasukuma mkono wangu na kumwaga chai. Vivyo hivyo...
Tatizo la Bp kwa sasa kwa miaka ya hivi karibu limeonekana kukua kwa kasi zaid ukilishana na kipindi cha nyuma, hii ni kutokana mfumo wa maisha tunayo ishi sio mzuri hasa katika mfumo wa...
wakuu kama kichwa kinavojielewa naomba kujuzwa na anaye fahamu ni wapi Dodoma mjini wanatoa huduma ya kuweka meno ya bandia ya kudumu
NB ukinitajia na bei nitashukuru zaidi
Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo...
I have been using tramadol since ages and I am now out of it just because my doctor thinks that I am getting addicted to it so he has prescribed me Tapentadol, But it is not working for me at all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.