Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Dr/wauguzi na wengine wenye ufaham. Mwanangu ana wiki tatu amekuwa anajaa tumbo na pia ana kosa choo pia analia sana naomba tafadhali nipate msaada wa kitaalam kuwa hilo ni tatizo gani na tiba...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Jino langu lina tundu japo bado haliumi, nifanyaje?
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Washikaji,nini sasa naskia kama kuna vichomi kwenye tundu la mkojo.Sasa nashindwa kujua nini tatizo kwa mtu ambaye ni mtalam au amewahi kukutana na ugonjwa huu anisaidie ili nikapime.Asante
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu yanayoendelea kwa siku ya leo. Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nimekuwa ni mkanganyiko wa...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Kwa wale wanaouguza wagonjwa mahtuti na wale wenye vidonda midomoni. Menya nanasi ukamue juice, Weka kwenye kikombe au bakuli, chukua mswaki wa mtoto uloweshe na juice ya nanasi usafishe kinywa...
7 Reactions
13 Replies
5K Views
Dokta mimi ni mwimbaji wa gospel! Ila ndo naanza anza, Sasa kuna wakati napata taabu katika kuimba sauti ya juu (high pitch), kitu ambacho sikipendi,. Yani ile unaimba halafu kwenye sauti za...
0 Reactions
10 Replies
27K Views
Habari wadau, sorry kwa anaefahamu dawa ya kifua kubana sana hadi kushindwa kupumua na kutoa sauti Kama filimbi. Msaada
1 Reactions
11 Replies
10K Views
Wakuu salama Kwanza nawasihi sihitaji matusi,kashfa au kejeli yoyote,huna cha kushauri kaa kimya tu. Kuna demu alikua na mimba na juzi ilikua siku ya 25 Akatumia misoprostal 200 mg nne...
0 Reactions
26 Replies
60K Views
Mbaazi ni moja ya dawa za mitishamba zinazotibu mambo mengi ikiwemo kurudisha bikra ya msichana endapo majani yake yatatumika na kuandaliwa vyema. Tuwe makini katika kufuata njia za kuandaa dawa...
3 Reactions
62 Replies
52K Views
Wengine hili tunda hawajawahi kuliona na wengine wanaopoga utomvu. Long way back hili tunda ndiyo lilitumika kama sweet bite pembeni ya uji wa nazi wenye chumvi kwa mbali. Ile miezi kumi nane ya...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
MAMLAKA ya Kudhibiti Chakula na Dawa Nchini Marekani (FDA), imethibitisha na kupitisha matumizi ya kifaa kipya cha kupima Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa kutumia mate. Kifaa hicho kilichotengenezwa...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Rais magufuli kiboko! Kawapiga bit Kali wafanyabiashara wa korosho marufuku kununua korosho kwa bei elekezi , Asema hachoki kufukuza watu kazi , asema haoni faida za bodi na haoni sababu ya kuwa...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Dr ,natumaini umeamka vyema,mimi shida yangu unisaidie kwa mke wa mimba ya kwanza ya mwezi mmoja,Nitumie utaratibu gani maana tumbo linamuuma kila dakka na pia ni chakula gani kinachomfaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini Wiki tatu zilizopita nilikuwa na hali mbaya macho yalikuwa yananiuma vibaya sana , tatizo kubwa likiwa ni mwanga yaani penye giza maumivu yanapungua. Basi nikaenda hospitali nikapimwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habar za kutwa wana JF Wadau mwenzenu nasumbuliwa na meno, nimeshapata kung'oa mawili(2) na bado mengi matatu(3) yananisumbua ambapo mawili ni ya chini moja la juu Plz wadau sihitaji kuendelea...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana JF! Juzi niliamka nikawa najisikia dalili za malaria na nikaenda kucheki kwenye kituo cha afya na kukutwa na wadudu watatu hivyo doctor akaniambia unatumia dawa gani nikasema...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari zenu wadau wa afya Mwanangu wa kiume mwenye miezi minne anakojoa mkojo wa njano na uchafu wa pinki huwa unabaki kwenye pampers nilimpeleka hospital daktari arecomend dawa aina ya ampiclox...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Wanawake wengi hujua wameshika mimba aghalabu wiki 3 baada kushika mimba. Mwili wenyewe utakuonyesha/utakutabiria kama: Hedhi yako itakoma/itakuwa nyepesi Utasikia uchefuchefu/utatapika...
3 Reactions
16 Replies
59K Views
Back
Top Bottom