Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

MADHARA YA UTUMIAJI WA KONDOMU: 1.Kondomu hupunguza nguvu za kiume kwa sababu ya mafuta yana sumu,ukitaka kujua chukua kidole tumbukiza ndani ya kondomu lala nacho mpaka asubuhi ukiamka angalia...
5 Reactions
41 Replies
73K Views
Habari zenu Wakuu. Mwanangu amezaliwa wakati mama yake akiwa na tatizo la upungufu wa kinga mwilini,alipangiwa amnyonyeshe kwa muda wa miezi 6 bila kumpatia maji wala chakula chochote mpaka miezi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Leo tuangalie tatizo la upungufu wa damu mwilini. Anaemia ni jina la jumla linalotumiwa kubainisha aina mbalimbali za upungufu wa damu mwilini. Kiwango cha kawaida cha chembe nyekundu za damu...
3 Reactions
2 Replies
29K Views
Akizungumza muda si mrefu katika Kipindi cha DADAZ Kinachorushwa na EAtv Kipengele cha MTU KATI Daktari Romana Malikusema ametoa Kali na ambayo nadhani sasa itatufanya Wanaume wengi tuanze...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu madaktari Nilipàta maumivu kiasi ya tumbo chini ya kitovu nikaenda hospital binafsi hapa mjini mbeya. Nilifanyiwa kipimo cha ultrasound kikaonyesha kuwa kila kitu kipo vizuri ila...
1 Reactions
37 Replies
16K Views
Imekuwa Kawaida wa mama wengi wajawazito nchini Tanzania na Duniani kutokuwa na wamama wasindikizaji hasa wakati wa kujifungua bila kujua faida za kuwa nao,ko zifuatazo Ni baadhi ya faida za kuwa...
2 Reactions
0 Replies
913 Views
Naitwa James nimeoa na nina watoto wa4, pamoja na kua nimeoa ila nje nina mchepuko Nilipokua na huu mchepuko kwa mara ya kwanza kufanya nae mapenzi nilipiga show nzuri tu bila tatizo lolote siku...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Nina ndugu yangu anasumbuliwa mwaka sasa, Hosp kibao kaenda vinapungua tu, Ila haviishi kabisa, kuna wakati vinarudi vingi.
0 Reactions
44 Replies
19K Views
Kuna pia magonjwa ndani ya mji wa uzazi ambayo pengine huweza kusababisha harufu licha ya mchanganyiko wa kawaida katika taratibu za utungaji mimba. Wengi hupatwa na uvimbe au vimbe mbalimbali...
2 Reactions
8 Replies
12K Views
Ndugu,jamaa na marafiki habarini za wakati huu. Naomba mawazo,ushauri kupitia mada hii ya walio athirika kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Kama mnavyo fahamu wako baadhi ya watanzania...
1 Reactions
7 Replies
18K Views
Hapa Visiga kwa Kipofu wilayani Kibaha kuna mganga wa kienyeji mmoja maarufu sana kwa kutibu magonjwa yote kwa kukata VIMEO tu. Kwa wale waliokwenda wanasema anavyo vibali vyote vya serkali vya...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nilifanyiwa surgery ya tumbo, (pancreatic pseudocyst) tangu mwezi march 2018 na nikapona vizuri lakini after few month napata maumivu makali sana kwenye kitovu na maeneo jirani na hapo nimeenda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini za saa hizi wataalamu wa kufikiri, mada ninayotaka kuzungumzia leo ni kuhusu ugonjwa wa cancer ambao ndio unaoongoza kuuwa watu duniani sasa hivi mfano Marekani cancer ndio chanzo cha...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Daktari yeyote atakuambia kwamba kutunza macho ni vizuri, na kuyafanyia mazoezi macho yatakuwa na afya, mazoezi mengine yataongeza kuona, mengine yanasaidia kama kuchoka kwa muda, bado...
3 Reactions
3 Replies
9K Views
Kwa siku nakunywa pespi tatu mpaka nne ninaweza kukamatwa na mtego gani wa kuugua au hakuna maradha ?
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wasalaam wanabodi!!! Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, ndugu yenu nina tatizo la kujipizia hasa nikiwa na hofu kubwa. Hii hali ilinianza nikiwa kidato cha nne. Nakumbuka nilikua...
1 Reactions
111 Replies
14K Views
Hivi nini kinachosababisha utando mdomoni mwa mtoto? Hii inakuwa hasa pembeni mwa mdomo pande zote mbili...ni kwa nini? naombeni msaada wenu enye kujua huu utaalam. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Wakati watafiti duniani wakiendelea kutafuta dawa itakayoweza kutibu tatizo la UKIMWI linalosababishwa na VVU, hivi karibuni imebainika kwamba kuna uwezekano mkubwa wa maambukizi ya VVU kupungua...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
hellow wadau naomba msaada wa namna ya kupata bima ya Either NHIF au nyngne nayoweza tibiwa hospital yeyote asanteni
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Back
Top Bottom