Nilimiss period after a week nikaanza pata spotting za damu nikaenda hosptali kwa gynecology akanipima BhcG nikaambiwa iko 59.5 means niko pregnant akanishaur nirud kupima tena after twool weeks...
Kwanza kabisa naomba mods hii makala msiunganishee na makala zingine. Huu uzi nataka niweke niseme niwekee ufumbuz kwa njia za asili kwa mtindo wa vyakula vya asili ili kuweza kutibu tatizo hili...
Habari zenu wakuu! Kuna ndugu wa bosi wangu anaumwa sana sasa kaenda hosptal kucheki dr.kasema kwamba figo zimejaa maji kwa hiyo kuna dawa kapewa kwanza za mwanzoni wakati anaendelea kusubiri...
Naombeni kuuliza ,ni nini kinasababisha mwanamke wa umri wa makamo
34_37 ,hajawai pia kuzaa,kutoa damu nyiingi nyingi sana wakati wa hedhi? Yaani ni nyingi kiasi cha kuvaa pedi kila baada ya...
Habari zenu mimi naitwa Nickson Swai naombeni msaada wenu nna matatizo yafuatayo kwanza kupata choo ambacho kimevurugika(kuharisha),tumbo kuunguruma ,hamu ya kula usiku haipo na pia kila...
Hello JF,
Kuna vifo ambavyo vinakuwa unexplained,unakuta mtu alikua amelala vizuri kesho yake asubuhi haamki...kumpima anakua keshafarilki...
Nimesikia moja ya magonjwa yanayomchukua mtu ghafla...
Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu.
Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500.
Na daktari...
Tafiti zinatuonyesha kuwa kwa kipindi kirefu, wanawake na wanaume wamekuwa wakitumia mbinu ya chakula kuwavutia wapenzi wao. Mara nyingine chakula hicho kinakuwa kinaongeza hamu ya kujamiiana na...
Habari wakuu!
Nimeamua uzi huu kuupa kichwa hicho, naomba kuuliza kwamba. Mwanamke baada ya kujifungua huchukua muda gani kuanza kuona siku zake? Na Je, akifanya tendo la ndoa ndani ya miezi...
EPUKA MATUMIZI HOLELA YA DAWA/MADAWA.
Unaamka asubuhi kichwa kinauma kwa kuwa una haraka ya kuwahi kazini unaamua kunywa dawa za kutuliza maumivu na kuwahi kazini, Mchana wakati unapata chakula...
Leo asubuhi nimeteleza sasa ile kutua chini nikatulia mkono wa kushoto.
mkono ukajikunga(kugeuka) na kuvimba pia nakuuma sana naomba kama kuna mjuzi anisaidie.
Lengo lilikuwa kufanya arbotion na kweli baada ya kuitumia hiyo dose baada ya nusu saa tu alianza kubleed. Ilikuwa tarehe 22 mwezi huu.
Sasa mpaka leo hii 31 bado anaenda bleeding tu kama kuna...
Kwenu wataalam,
Nasikia maumivi madogo madogo kwa mbali kwenye kende na mshipa hivi kama unakuja tumboni.
hili utokea mara chache chache si kila mara, ila kuna wakati linakuwa common afu...
Habarini za usiku wakuu,natumai wazima.sipendi kupoteza muda naingia kwenye mada.
Nguvu za kiume ni nini?
Hili swali limekuwa lina majibu tofauti sana kutokana na mtu anayeulizwa ama yule...
Ni imani kuwa kila moja wetu humu JF ni mzima wa afya.
Nina jambo moja ninaomba kuwashirikisha, jambo lenyewe ni hili; Mke wangu ana ujauzito wa kama miezi minne na ni mimba yake ya kwanza...
Habari za majukumu wana jf mimi nina mtoto wa miezi 7 na nusu na mazingira ninayoishi yanajoto sana kiasi kwamba hata nikifungua madirishi bado joto linakuwa juu kiasi kwamba mtoto anapata tabu...
MADHARA YA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU
Habari za leo rafiki ni matumaini yangu unaendelea vyema na kufurahia uwepo wa blog hii, Nimepokea email nyingi kuhusu tatizo la kutopata choo hvyo nimeona...
Wapendwa napenda kujua je dr getrude wa regency ni mzuri!!! Kuna mtu kaniambia muda mwingi anapoona wagonjwa hayupo serious.....anaongea sana na nurse wake.....mwenye full input nataka kumpeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.