Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kama aliingia tarehe 4 mwezi wa 12 mwaka huu, siku yake ya kupata ujauzito ni ipi? anamzunguko mrefu wa siku 34
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari nina shida mwanangu ana tatizo hilo ngozi inababuka inakuwa kama inaweka magamba yakitoka yote anakuwa poa then baada ya muda tena hiyo hali inajirudia hii inamtokea hasa mgongoni...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ndugu, habarini ? Naombeni mwenye namba za simu za Mfanyakazi mmojawapo wa Tanzania medical radiation and imaging council, ainisaidie ili niwasiliane nao.Muwe na mda mwema.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna sehemu nimekaa naskia watu wanajadili kwamba kuna uwezekano wa mwanamke kupata watoto mapacha kwa kutumia unga wa soya na pilipili manga kwa wingi hii hupelekea mayai ya mwanamke kuwa makubwa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Naombeni msaada wana jf. mwezi mmjo uliopita niliumia mkono ( kuanguka) kwenye maungio kati ya mkono na kiganja picha iyo apo chini pamoja na X ray nilienda hospital wakanifunga p.o.p sasa Jana...
0 Reactions
4 Replies
724 Views
Heshima zenu wakuu. My question is whether or not there is any medical reasoning that can help me understand why I emote with tears so easily? I find myself crying on a happy/sad ending of a movie...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari yako kijana mwezangu na wanajf kwa ujumla. Ktk mizunguko yangu ya hapa na pale nikiw ktk internet nikabahatika kukutana na hii kitu "na hii ni kwa jinsia zote mbili"..Tusonge nayo.... The...
2 Reactions
0 Replies
980 Views
Salaam Tz Siku hizi teknolojua zimekuwa sana kias cha kuwezesha tafit nyingi mno katika jamii ikiwepo Afya n.k Kila tafiti ina critics zake/yake lkn em tuangalie uhusiano uliopo baina ya kucha...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ni week sasa toka hili tatizo linianze miguu inavimba lakini sihisi maumivu yoyote yale,,,0768883302 kwa yeyote mwenye kunisaidia,,
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani wanaJF, Hivi hii njia ya uzazi wa mpango ya kujamiiana ,then ukamwaga nje mbegu zako zote pale unapo fikia kilele., Je, uwezekano wa mkeo/girlfriend kupata mimba inawezekana? Je ni kwa...
0 Reactions
46 Replies
76K Views
Naombeni kujua Madhara ya kuchanganya dawa aina ya flygyl (flajin) na kilevi
0 Reactions
31 Replies
12K Views
Wakuu pole na mihangaiko, nimekuwa nkisumbuliwa na sikio kuziba yaani kushindwa kusikia vizuri. Marakwamara nilikuwa naenda Kairuki hospital na kukutana na specialist, na walikuwa wananitibu kwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nihatari sana inaunguza korodani kama conc.Acid,usiogee!!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
You cannot lift up one end of a stick without lifting up the other as well - Anonymous As I mentioned earlier, there are many unfounded false beliefs about the effects of masturbation. It is...
0 Reactions
3 Replies
15K Views
Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Naomba msaada wenzangu Hali zenu VP wapendwa mmefanikiwa kuishi na huu ugonjwa?
0 Reactions
3 Replies
942 Views
Nisiwachoshe,,, Nikwamba nasumbuliwa na MARADHI ya Kuuma miguu,,, ambayo yaliaza ghafula tu,na nikifikia yakwenda kutibiwa,, baada ya vipimo niliandikiwa Dawa ambazo ni mwezi sasa natumia bila...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwamba wale Wanawake / akina Mama ambao huwanyonyesha Watoto Wao kwa miaka miwili mfululizo / kamili hao Watoto huja kuwa Vipanga ( Werevu / Intelligent ) sana / mno kuliko wale ambao...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
leo nimeamua kuleta somo la UKIMWI na maajabu ya maambukizi. naombeni tusome kwa makini na kuchangia michango yenye tija kwenye topiki hii iwe maswali na maelezo ili watu waelimike,nitakuwepo kwa...
21 Reactions
91 Replies
116K Views
Doctors msada wenu,mwanangu amekatwa kilimi leo siku ya tatu lakini bado analalamika maumivu ile hali mwenzie alie katwa siku moja yeye yuko vizuri.Ni dawa gani itamsaidia kumpa unafuu kama si...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom