Salam!
Kirefu cha herufi 'K' tajwa hapo juu cio kila neno linanaloanza na heruf K upo sahihi, kwa watu wazima mnaelewa K ni nin kwa muktadha wa mada
Wanawake waliobaleghe mmekuwa na kasumba ya...
Habari wana JF,
Leo ni siku ya tatu tangu vipele hivi viniote kwapani.
Chanzo:
Shughuli zangu nyingi ni vijijini hùko iringa, siku tano zilizopita nilikuwa huko na mvua zikaanza kunyesha hivyo...
Wiki iliyopita nikiwa kazini ghafla nikawa naishiwa nguvu hasa za miguu, nikaenda kuchek maleria na typhod nikaambiwa nina malaria nikapewa dozi. Baada ya kumaliza dozi hali haikua nzuri nilikaa...
Juz nili lala mpenzi wangu baada ya kulala nae kesho yake akaja kuniambia kuwa nilimchubua vimetoka vidonda sehemu za k
Nauliza ivi nikweli hivyo vidonda ni vimetokana na mimi kumchubua au kuna...
Nilikunya pombe kali ya Valeur chupa kubwa mwaka jana November 24
, nilikunywa kwa mkupuo bila kupumzika huku nimesimama mpaka ikafika nusu ndo nikaacha, baada ya muda kidogo nilipatwa na kichefu...
Habarini wana jamvi
Mama yangu amekua akisumbuliwa na kisukari kwa miezi miwili sasa,na changamoyo kubwa imekua ni vyakula gani vizuri kwa mtu mwenye ugonjwa huu.
msaada tafadhali
Sent using...
Kuna rafiki yangu wa kike anasumbuliwa sana na kutokwa na damu (period) isiyo ya kawaida!
Kuna mtu kashauri akaonane na (neolife health) msaada jamii
Niliyeandika ni mwanaume! Naombeni msaada...
Habari wana jamvi??
Kwa muda sana serikali inapiga kelele kuhusu ukeketaji lakini bado baadhi ya maeneo hawakomi, huenda kuna faida inayopatikana kutokana na kumkeketa mtoto.
Kwa wale wanaojua...
Naombeni msaada mke wangu toka alipo acha kutumia sindano za depo amekuwa akitokwa damu ukeni huu sasa unaenda mwezi wa pili.
Alienda hospitali akapatiwa dawa lakini bado tatizo lipo pale pale...
Helow wadau!!! Nawasalimu nyote:::
Hv ni hospital ipi kuna madaktar bingwa ya wanawake !! Nina shida
Pia kwa mtu anaye jua watu wanaojiita " neolife health! Pia naomba anailekeze!!!
Nisaidie...
wakuu naomba msaada wa elimu juu ya huo ugonjwa na kama matibabu yake yanawezekana tanzania ama hapa afrika mashariki maana kuna ndugu yangu nahis anateseka nao ugonjwa huo japo watu wengine wote...
SARATANI YA KIZAZI( CERVICAL CANCER)
Hii n saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cell zilizopo ktk shingo ya kizazi.Mabadiliko hayo hupelekea chembechembe hizi...
Habari za sahizi wana JF na poleni na majukumu ya kutwa nzima leo.
Naombeni msaada katika hili.
Nimekua nikipata muwasho sana kwenye mapaja baada ya kuvua suluari/tight na nikiwa najikuna...
1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa
2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo
Lina uwezo wa kuondoa Cholesterol mbaya ijulikanayo kama (LDL) na kuongeza Cholesterol nzuri ambayo haina...
Wasalam!
Ndugu yangu anahisi maumivu sehemu za pembeni ya tumbo;pande zote mbili.Kuna wakati alipima UTI na kuitibu.Lakini maumivu yanaendelea.Kwenye upande mmoja kuna kijimstari kimejichora...
Habarini wakuu? Naombeni msaada wa kitabibu kwa yeyote aliyewahi kuwa na tatizo hili akalitatua au tabibu yeyote mwenye ufumbuzi wa tatizo langu.
Nimepata tatizo la uvimbe mgongoni nyuma ya...
Latest Study: 1 in 4 Christian teen girls has an STD - More Christian profanity exposed world-wide!
When it comes to expertise in pornography, homosexuality, fornication, adultery, open lewdness...
Habar mm n doctor phine ninadeal na matatizo yote ya uzazi kwa kutumia product za neolife: kama ulishawah ambiwa mirija yako ya uzazi imeziba,una kansa ya kizazi,UTI isiyo kwisha,PID,kutokwa na...
Kuna ndugu yangu mke wake amejifungua.Nilipoenda kumwona mtoto, nilinunua zawadi ya pampers na kuzipeleka kisha nikaambiwa eti hawezi kuvalishwa kwa vile bado ni mdogo. Is this argument has any...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.