Habari za mida hii wanajf.
Ninashida nahitaji msaada wa kitaalam. Dada yangu akipata ujauzito tuu miezi ya mwanzo anatapika sana na kuishiwa nguvu sana. Je kuna utaalamu au dawa yoyote ya kuzuia...
Lengo la JamiiForums ni kuelimisha, kuhabarisha, kuburudisha, kuhamasisha, kuliwaza, kutatua kero mbalimbali katika jamii ambazo zina mfanano na malengo yote niliyo yataja
Hivyo basi sote kwa...
Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, Mi nimeoa nina watoto pia, kama mwezi sasa tokea mke wangu amesafiri kwenda kusafiri kijijini nimekuwa napiga punyeto masaa24 /7 yote hiyo ni sababu...
Habari wakuu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo yapata mwaka sasa bila mafanikio, ulimi wangu umekuwa unalika na kupona wenyewe upande mmoja,
kuna kipindi nahisi kama kuna kitu mafano wa...
Hello Wakuu!!Hii habari nimeiona katika social media moja.Natamani kujua kama ipo na ukweli kiasi gani!Mpaka hivi sasa huyo Bwana wa kutoka hii nyumba yupo wapi na anaendeleaje?
Katika soma yangu...
Naombeni kufahamu Dalili za mwanzo za Maambukizi VVU Maana nimejaribu Kutafuta humu nilizopata wengi wamezielezea kua ni za 90'S huko so mpya zipoje kama zipo
Nilikuwa muathilka wa kufanya punyeto mpaka uume wangu ni mdogo kuliko kawaida kuna uwezekano wa uume kurudi katika hali yake ya kawaida?naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, Mimi Nimethibitisha "Limao Kwangu Ni Sumu."
Nasisitiza "Kwangu Imekuwa Sumu"
Nikitumia Hata Robo Ya Kijiko Cha Maji Ya Limao, Baada Ya Masaa Kadhaa Kichwa Kinanibana Karibia Kufa...
Ndugu zangu nasumbuliwa na hedhi ya muda murefu, nimejifungua miezi 6 iliyopita. Sasa hedhi ilianza kutoka takribani wiki 2 zilizopita na hadi sasa inaendelea.
Nimeenda hospital nikapewa vidonge...
Sehemu kubwa ya size ya mwili wako ni matokeo ya maisha unayoishi, vinywaji na vyakula unavyokula. Hapa mjini vyakula vyenye afya mwilini ni bei rahisi kuliko vyakula vinavyoharibu mwili.
Mboga...
Habar wana jf, msaada tafadhali
Mm ni member mpya kwenye JF, tangu nifungue account ya jf ni kama siku tano hivi zimepita. Nikaambiwa nisubiri admin wa jf approve account yangu, ila juzi...
Je siku zake za kupata mimba ni kuanzia tarehe ipi?mzunguko wake ni siku 28 na humaliza siku zake kila baada ya siku 3-4.
Nimejaribu kupekua kwenye app tofauti tofauti naona wananichanganya tu...
Wapendwa sikio kuuma bila kutoa usaha, na kuwa na dalili za uvimbe kwa ndani kwa chini. Mshikaji kaenda kwa wataalamu wa ENT mara nyingi na haisaidii. Kaambiwa mpaka atumie mafuta ya kuku...
Wakuu Pole na shughuli, me najuaga mimba inachukuaga wiki 40, mpaka mwanamke ajifungue...
Je inawezekana kwa mwanamke mwenye mimba ya wiki 36-37, akajifungua, na mtoto akawa na afya njema...
Habari ya jumapili wadau. Nina asali mbichi kiasi cha lita moja. Sasa nataka nichanganye na unga wa mdalasini. Je ni kiasi gani cha unga wa mdalasini natakiwa kuweka kwemye asali lita moja...
Wakuu habarini za usiku!
Wanajukwaa naombeni msaada wenu, nina mtoto wa miei 9 ila siku ya leo amekuwa na matatizo ya kutapika na kuharisha na joto la mwili limekuwa la kawaida tu.
Alhamisi...
habari ya sahv wananajamvi ? kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno mda mchache sana kinakuwa akiumi naomba mawazo yenu tafadhali wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.