Nililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).
Majibu ya ugonjwa...
Utafiti umeonyesha kuwa imani za zamani kwamba glasi moja ya mvinyo wakati wa chakula ni muhimu ni potofu.
Unywaji wa pombe kupitia kiasi sio mzuri kwa afya yako kitu kilichothibitishwa kisayansi...
Habari zenu wapendwa, kwa wiki moja mfululizo mwili hauko vizuri, nimepima malaria ,choo,mkojo, nk sijakutwa na kitu! Daktari akasema inawezekana ni hiyo BP akanipa dawa! Akashauri nipunguze uziko...
Nashindwa kuelewa niniaumwa au ni hali ya kawaida, huwa napigwa shock kama ya umeme nikigusa vitu kama meza, mlango, kiti na baadhi ya nguo ninapokuwa ninagusa kwa mara ya kwanza ila nikishashika...
Habari zenu.......... Tatizo la nyonga upande wa kushoto pamoja na misuli ya mguu ambapo misuli huuma kuanzia pajani kushuka mpaka karibu na kisigino..... ... Ipi tiba yake na dozi yake ipo vipi...
Kuna mtoto wa kike nilikuta nae maeneo flani hivi nikaona ameng'oa meno yote ya mbele. Na alikuwa kama anamiaka 6 ambaye ni sawa na umri wa mtoto wangu. na mm hapa kuhusu mtoto wangu hajang'oa...
Je unafahamu madhara yatokanayo na kuweka vidole wakat wa kujisafisha au kutumia douches sehemu za siri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha kuweka vidole sehemu za siri wakati wa...
Habari wanajamvi?
Tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kutokana na magonjwa ila mbaya zaidi unakuta magojwa fulani yanawandama zaidi tabaka fulani.
Kuna huu ugonjwa wa figo na kifua haya magonjwa...
Wakuu heshima kwenu.naomba nielezee tatizo langu.
Mimi ni kijana wa makaomo mwenye afya timamu sina stress kabisa lakini kuna jambo huwa watu wananiambia.ni hivi.
Nikiwa nimekaa na watu wengi...
Mungu ndio anajua hali niliyokuwa nayo wakati nasuburia majibu ya kipimo hiki.
Ila, nina furaha ya ajabu baada ya kupata matokeo haya.
Wenye gut, karibuni tujue status zetu. Sio mpaka msubiri...
Amani iwe nanyi wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.Ugonjwa juu usiokuwa na jina la kitaalamu umenisumbua kwa mwaka sasa.Niliambukizwa nilipofika morogoro kufanya research.Baada...
Calcium ni madini muhimu kwa ajili ya kuimarisha mifupa na meno, vidonge vine hutoa asilimia 100 ya kiasi cha calcium itakiwayo kwa siku katika mwili ina 1000mg ya calcium pamoja n 400iu ya...
Habari wapendwa
Naomba kufahamu katika hili. Nina watoto mapacha wamekutwa na upungufu wa damu mwilini kiasi cha kutoka vidonda mdomoni. Hawawezi hata kula vizuri.
Je nini chanzo cha tatizo hili...
Habari za mida hii waungwana wa humu waungwana nilikuwa naomba kujua kula bamia mbichi kuna madhara?au kuna faida maana siku hizi nimejikuta napenda kutafuna bamia mbichi.Ahsanteni
Imekuwa ni hatari sana kwa baadhi ya watu wengi tukisumbuliwa na sukari, hii yote husababishwa na lishe tunazozipata ambazo mara nyingi huwa na kemikari (chemical) ambazo huenda kuathiri kongosho...
Fangasi ni ugonjwa unaowasumbua wanawake wengi duniani. Asilimia kubwa wanatibu lakini ugonjwa hurudi mara kwa mara. Fangasi kiasili aina ya Candida Alibican huishi ukeni bila kusababisha madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.