Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ni kitu ambacho kinaweza kuonekana au kufahamika(common) kuwa kina mama(wanawake) wengi kuwa huwa wanaongezeka uzito(gain weight) pindi wanapo jifungua(kupata mtoto) kwa mara ya kwanza na...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari zenu wadau? Poleni na majukumu ya kila siku. Niende kwenye hoja ya msingi, tumekuwa tukiona wa mama waja wazito wakihudhuria clinick mpaka wakijifungua bado wamekuwa wakipeleka watoto wao...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jf naomba mnisaidie sukari imepungua mwilin hadi kufikia 4 hv ni vyakula gani natakiwa kuviepuke au natakiwa nizidishe vyakula vya sukari hli ipande nisaidien kwan hadi sasa nimechanganyika na...
0 Reactions
12 Replies
16K Views
Naomba kujua DALILI za U.T.I
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Nina tatizo la kuumwa kiuno.sijawahi kuanguka au kupata ajali imejitokeza ghafla na hata kuinama inakuwa shida naomba msaada wa tiba
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu. Ni mara yangu ya kwanza kupost katika jukwaa hili la Jf Doctor. Naimani nitapata ushauri wa hili tatizo langu maana ni kama siku ya nne sasa linajirudia pamoja na dawa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuhusu sindano ya HCG kupevusha mayai,hii sindano nitaipata WAP na bei yake nigani? Has kwa mbeya
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za leo? Naomba kuuliza endapo kundi la damu linaweza kusababisha mwanamke au mwanamme kuwa mgumba. Naamini wataalam hapa jukwaani watasaidia kutoa majibu sahihi. Samahani kama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto wangu ana miezi 10 huwa kama nikijaribu kucheza na mke wangu yaani tuna pretend kupigana ngumi au makofi basi mtoto wangu analia kweli, akitulia bado nikiwa najifanya kumpiga mke wangu...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
It's with great pleasure that I greet you my fellow learned friends. I would like to know the merits of Whitefield ointment.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaamu sana wana JF mwanangu ana miezi mitatu na siku 13 mpaka sasa. Anayo shida ya kujisaidia kinyesi cha ranging kama ya kijani vile , kikiambatana na utelezi hivi na kikiwa na povu kwa juu...
1 Reactions
17 Replies
48K Views
..
1 Reactions
1 Replies
780 Views
Habarini za jumapili wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. N vyakula gani ambavyo unaweza kupatiwa watoto ili kuwapa hamu ya kula hasa kwa watoto wadogo..? Tupeane ujuzi kwa wale wanaojua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salam! Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Kama unasumbuliwa na tatizo LA kutopata hedhi mara kwa Mara. √ chukua kijiko kimoja cha tangawizi changanya na kijiko komoja cha mdalasini. √ weka kwenye maji nusulita. √ chemsha mchanganyo huo na...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum, kwa experience yangu kuna dawa nyingi zinazotibu schizophrenia, ila ukiacha kunywa hizo dawa tatizo linajirudia. je kuna dawa inayotibu hili tatizo moja kwa moja? kama ipo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wajameni wana JF hii imekaaje mtoto ana mwaka na miezi mitatu ila kaota jino moja tu kiasi inaleta wasiwasi....Wadau wenye ujuzi hii imekaaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF Nilikuwa naomba msaada wa dawa gani ni nzuri kwa kuchua mgongo na misuli maana nasumbuliwa na mgongo na miguu. Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
23K Views
Wa salaam... Nimekuwa mhanga wa hili tatizo kwa mda wa miezi minne Sasa. Miguu inawasha mda wote na nikiikuna kwa nguvu Kuna vitu vyeupe flani hivi hutoka... Hakuna dalili zingine na hizo. Naomba...
0 Reactions
8 Replies
22K Views
Je! Naweza kusoma udaktari kwa kutumia cheti cha diploma ya Environmental Health Science?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom