Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Uhali gani? Hili swali nimeuliza na dogo hapa nimeshindwa kumjibu zaidi ya kuguna tu. nimeona nilete kwa madaktari wa jf huenda wakawa wanajua kisayansi kazi ya hizi manyonyo kwa wanaume ni nini...
2 Reactions
29 Replies
12K Views
Wadau naombeni msaada wenu jamani.... Mimi nasumbuliwa na maumivu mbavuni na muda mwingine naskia kama mfano wa kupeuwa ndani kwa ndani upande wa kushoto na maumivu kwenye kitovu na kichomi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Naomba mnisaidie. Nimewahi kusikia kuwa kuna uwezekano wa kuweka meno ya bandia yakawekewa vyuma yanakuwa siyo ya kutoka tena na ni imara. Naombeni mnijuze, Je hicho kitu ni...
0 Reactions
20 Replies
28K Views
Jamani kuna mtu wakati naongea naye amenishtua kidogo pale aliponambia kwamba; anashangaa kila akimaliza kula anahisi kama hajashiba. Kiukweli binafsi sijawahi kusikia kitu cha aina hiyo, sasa...
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Jamani, yapata siku 5 nasumbuliwa na maumivu ya ufidhi wa chini upande wa kulia So sijajua tatizo ni nini au inasababishwa na kitu gani.. But kwenye usafi wa kinywa nipo vizuri sana nasafisha...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Unapokuwa na kitambi maana yake ni kwamba unawaambia watu kwamba wewe huwa unakula kula kula hovyo bila kufuata mpangilio. Kwamba wewe huwa unalewa hovyo hovyo bila kuwa na kiasi. Kwamba wewe huwa...
5 Reactions
73 Replies
9K Views
Ukuaji wa ubongo wa mtoto huanzia tangu mama akiwa mjamzito. Matukio yanayotokea nje yanaweza kuleta athari chanya au hasi. Matukio hayo ni kama migogoro ya baba na mama mjamzito, kutumia pombe...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna jamaa mmoja kila mara hujipiga piga usoni na kujipapasa kana kwamba kuna wadudu wanamshambulia. Haiwezi kupita sekunde ishirini bila kurudia kitendo hicho. Najiuliza huu ni ugonjwa gani na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cha kufanya,chukua mfupa wa samaki uchome kwenye moto mpaka utoe moshi,hakuna mashart,ni salama,inatoa nyoka na ng'e wanaojificha ndani
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Naombeni mwenye kuwa na ufahamu tujuzane juu ya faida zinazopatikana ndani ya madafu kiafya ndani ya miili yetu......
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kuuliza je ni salama kutumia Vitunguu swaumu vya kisasa kama tiba? Je, njia gani nyingine ya kutofautisha Vitunguu swaumu vya kisasa na vya asili zaidi ya kuangalia ukubwa wake?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanamume mmoja nchini Uingereza amesemekana kuwa na kesi "mbaya zaidi" duniani ya ugonjwa wa Kisonono. Alikuwa na mpenzi mmoja nchini Uingereza lakini alipata bakteria hiyo baada ya kujamiana na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau kuna bibi mmoja yuko Kasulu anatibu magonjwa hayo. Anatibu aina zote za Kansa kwa miti shamba tens gharama nafuu; malipo ni baada ya kupona. Kwa maelezo zaidi ni-pm. IT IS TRUE.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kahawa ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi wa jamii zote duniani kama kiamsho kwa asubuhi. ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KAHAWA 1. Kahawa inaweza kukuongezea nguvu mwilini. Kikombe cha Kahawa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari jana jamvi! Naombeni msaada wa tatizo la mgongo, kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye mgongo Chini kidogo ya mabega, maumivu huwa yana kuja na kupotea na kuja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika hali ya mazoea ya muda mrefu, imeshakuwa ni jadi kwa vitafunio hivi wakati wa chai kufungwa ndani ya magazeti unapokwenda kununua kwa baadhi ya watayarishaji, mfano mama lishe. Nionavyo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamii forum? hivi je kuenda haja ya choo kilaini ni tatizo au kawaida kiafya? Mimi hua mara nyingi naenda choo kilaini na ni nadra sana napata choo kigumu. Je hili ni tatizo au...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Mimi na Tanzania - Madhara ya ARVs (Sehemu ya Kwanza) Mimi na Tanzania - Madhara ya ARV's (Sehemu ya Pili)
1 Reactions
11 Replies
30K Views
Toka tuzaliwe na tumeanza kutembea mikono yetu hutumika sana kuchukua, kunyanyua na pindi tunapotembea mikono huwa na movement flan hivi ya kwenda mbele na urudi nyuma ila cha ajabu ni kwamba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
tumezoea kuona mwanamke akiwa na mimba changa wakati mwingine huwa na tabia ya kula vitu vya ajabu kama udongo,ndimu,nguo n.k lakin 'nimejulishwa' pia kuna wakati mwanamke akiwa na mimba basi...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Back
Top Bottom