Habarin ndug zang? Nina tatizo moja ambalo nimeligundua hivi karibun ambalo linaniumiza kichwa nahitaji msaada kwa anayejua matibabu yake, mm ni Kijana nna umri wa miaka 27 kwa sasa na nna Mke...
Naomba kufahamu ugongwa huu unaitwaje maana ni muda sasa nimesumbuka nao bila majibu au tiba yake. Mwaka 2005 kulitoke ghafla mabaka meusi sana usoni pia pakatokea utando mweupe kwenye ulimi suala...
Sababu ya Moyo Kupanuka
Moyo kupanuka au kuwa mkubwa ni tatizo ambalo huathiri utendaji wa mfumo wa usambazaji damu mwilini.
Ni hali inayosababishwa na ukinzani wa moyo jinsi unavyotoa na...
Ni nasumbuliwa na mgongo, ni mda sasa naomba msaada wa dawa au hospital gani nzuri kwa matatizo haya, cwez kulala bila kukanyagwa mgongo nikichua inapunguza maumivu kwa mda tu.
NAWASILISHA
1 Massage inaboresha afya ya ngozi.
2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri.
3. Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili.
4. Massage Inaondoa kovu...
Kuna Vinyama vidogo laini huota sehemu mbalimbali za mwili ...tungozi tudogo tudogo na zingine huwa huwa Virefu kiasi...havileti maumivu bali huharibu mwonekano WA sura.....vidudu hivi dawa yake...
Habari wana JF
Kama nilivyoanza mwanangu anaumwa ugonjwa wa ngozi ni mwezi sasa.
Mwanzoni alianza kwa kujikuna kadri siku zilivyozidi kusonga ngozi ilikuwa inabadirika kutokana na kujikuna...
Nini nifanye ili niache kupiga punyeto but tayari nina mpenzi na huu ni mwaka wa tatu nipo naye kwenye mahusiano Ila bado napiga punyeto na kumfikisha kileleni namfikisha vizuri sana
Nina tatizo la kusikia au kusoma tofauti na maana halisi mfano kusoma neno kuoana naeza kusoma kuelewana
Na pia katika kusikia ni hivo hivo ubongo wangu unatafsiri maneno tofauti na uhalisia iwe...
wakuu habari, naandika hii thread nikiwa kitandani siku ya tatu, nlienda hospitali kupima wakaniambia nina U.T.I nimetumia dawa za Cpro....(sijui jina lake vizuri) lakini hazikuniletea mabadiliko...
Wakuu nahitaji kupima afya kwa kupima magonjwa mbali mbali. Naomba mwenye uelewa wa hospital gani nzur na iko wapi naweza kupima kwa kutumia bima ya afya NHIF.
Taratibu zake ziko vipi?
Ndugu wana jukwaa, kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu kuwa uwezekano wa kupatikana kwa mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi ya 17 toka mwanamke anapokuwa ameingia hedhi.
Je kuna uwezekano wowote wa...
Naomba msada Nina tatizo la kujaa gesi hasa nyakati za usiku naomba kujua Nina tatizo gani na kuna wakati tumbo huwa kubwa gumu lililochanganyik na gesi.
1. Kichwani: Inafungua vinyweleo na kuondoa sumu zillizohifadhiwa, pia inaboresha mzunguko wa damu na Ukuaji wa Nywele.
2. Usoni: Inafungua vinyweleo na kuifanya ngozi kuwa nyororo.
3. Katika...
Jamani ndugu wapendwa.......
Naombeni msaada wenu kila nikila baadhi ya vyakula napata kiungulia kikali ambacho kunanitesa week nzima.
Kwa mfano nikila viazi vitamu nashikwa na kiungulia...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mke wangu ni mjamzito anasumbuliwa na kiungulia sana.Yaani chochote anachokula anatapika naombeni ushauri au Tiba ya kumsaidia.
wakuu nahitaji kufahamu kwanin hz madawa wanayatengeneza za aina mbili ila zina kaz moja mfano malafin na mseto,,zote ni za malaria ila moja wanadai ina salfa na nyingne haina,,je kati ya dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.