Ndg wajuzi wa masuala ya kitabibu hawa kwa magonjwa yanayoweza kuzuilika /kuhepukika,, hivi mtindi una uwezo wa kuwasaidia watu wanaofanya kazi Kwenye maeneo ya vumbi? Kama ilivyo kwa maziwa...
Ndg Wana Bodi ya JF Amani iwe kwenu.
Nina ndugu ambaye anatumia Dawa antiobatc ya Muwasho kwenye mwili ana dose ya Mwezi mzima.
Wasiwasi wake je akifanya check up hali akitumia dose...
Kwa kweli hili suala mimi hua najiuliza sana na sijabahatika kumpata mwanamke nikamuuliza je na wao wanawake hua wanatikwa na manii kama vile wanaume hususan pale panapofanyika tendo la ndoa...
Habari wakuu,
Naombeni kufahamu huu ugonjwa nilionao ni ugonjwa wa namna gani?
Nikianzia hapa ni kwamba toka mwezi wa 6 mwaka jana nilikuwa najihisi kuchoka sana kwa shughuli ndogo ndogo kama...
Habari wanajamvi nimekuwa nikisumbuliwa na kuwashwa sehemu za siri takribani miaka saba sasa nimehangaika kutumia madawa mengi ya hospital bila mafanikio, imefika kipindi kwenye koo kumekuwa...
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka...
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumivu yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka...
A/alyekum na Bwana Yesu asifiwe
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenzenu nilikuwa nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili. Siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shughuli...
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka...
Napenda kujua.Kipindi baada ya mvua kubwa za April kunyesha,watoto wengi chini ya umri wa miaka mitano(5 years) hushambuliwa na magonjwa yanayohusu mfumo wa upumuaji( mafua, kikohozi pneumonia (...
```Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.```
_Unapoamka katikati ya usiku...
Habari wa J.f
nimepatwa na tatizo la kusikia maumivu upande wa kifua mkono wa kushoto, maumivu haya nilianza kuyasikia asubuhi nilifanya mazoezi ya push sana na skwashi..je tatizo hili...
Habarini wana JF,
Mke wangu tangu nimemuoa naona maajabu chakula anapika viwili chake na changu chake hataki nikione, nikaamua kumchunguza anakula nini mpaka nisikione nimekuta anapika mende na...
Kuna wanawake hubadilika mzunguko wao kila mwezi. Kwa mfano 14 Mei, 18 Juni, 24 Julai, 26 Agosti, 30 Septemba, 06 Octoba, ... Inatokea hata mwezi kuwa na siku zaidi ya 36.
Je hali hiyo inaashiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.