Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Tumekuwa tukifundishwa kuwa UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini,na VVU ni virusi vya UKIMWI.. swali langu la mantiki lipo hapa mtu akiwa na upungufu wa kinga ya mwili bila kuwa na virusi je,mtu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kukaa muda mrefu ukifanya kazi za ofisi bila kuinuka na kunyoosha viungo kwa kutembea na kijinyoosha ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo hasa kiunoni. Wataalamu wanapendekeza mtu...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Hashima iwe kwenu madaktari mdau wa kike anaomba msaada afanyeje ili kuzuia tatizo alilonalo la kuingia kwenye siku zake mfululizo baada ya kutumia uzazi wa kutumia kijiti tokea amefungwa anasema...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wana JF Nina rafiki yangu hapa anatatizo hili la kujihisi anapata maumivu kwenye sehemu za Kende(testes) yapita mwezi mmoja ana Tatizo hili na pia sasaivi Amekuwa hana ashi sana ya mapenzi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Naomba msaada.vyakula gani vinavyozuia au kasi ya mtu kurefuka kupita kiasi
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za saa hizi wanajamii Ndugu yenu hapa katika harakati za kimaisha nimepata bahati ya kutembea sana kanda ya magharibi(kigoma, katavi. Njia za maji upande wa rukwa) kwa shughuli za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Me mgeni humu naomba mnipokeee
0 Reactions
18 Replies
800 Views
Ninahisi ninaungua Kwenye Mashavu, Mabegani, na kichwani usawa wa Utosi. Wakati Mwingine vichomi vinanichoma kichwani. Sijajua tatizo liko wapi. Nimekunywa dawa sana ila bado tatizo linajirudia.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wapenzi? Naomba msaada wenu Mimi huwa napata maumivu makali kwenye mstar wa haja kubwa yani panakuwa panavuta kama vile mtu ananichoma na kisu kikinikamata huwa nashindwa kujigeuza...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni juz juzi nilikula nyama ya kondoo, sasa hivi nimeota vipele usoni. Naomba msaada wa dawa gani nitumie ili viishe?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HATUA -Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu. -Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele. -Angalia mkojo wako umedondokea kwenye...
3 Reactions
79 Replies
28K Views
Habari wakuu Naomba kujuzwa nikwanini mgojwa wa malaria akitumia kikombe Halafu akaja mtu ambaye haumwi akakitumia anapatwa na ugonjwa wa malaria? Wakati wataalamu wa tiba hudai kuwa malaria...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani umekuwa ikinitokea Mara kwa mara kwa kipindi hiki. Hapo mwanzo nilikua nakunywa pombe nyingi sana bila madhara yeyote ,pia nilikua napendelea pombe kali. Lakini hali imebadilika kwa sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Makala ya leo ni muendelezo wa magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo, na ugonjwa wa leo hujulikana kama Tundu katika moyo, au Tundu katika kuta za ventrikali za moyo, ni ugonjwa ambao hutokea mara...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo sema Nina siku nne Hamu ya Kula sijaipata hivyo madaktari was humu if naomba Masada went asanteni
1 Reactions
14 Replies
1K Views
MTU kupungukiwa na damu mwilini unaweza ukatumia vyakula gani na ili kuweza kuirudisha kwenye kiwango chake ? Ama kunavidonge gani unaweza ukapewa na ikarudi sawa
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Utakuta unaota unaambiwa jambo la maana na mtu unayemfahamu au usiyemfahamu, kabla hajamaliza kukusimulia, mara anatoweka au ndoto inakatika. Pengine ungekuwa nusu macho, hii ndoto isingekatika...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimetokwa na damu yenye rangi nyeusi mguuni, na mguu unakufa ganzi tatizo ni nini??
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau mm nashida nanaomba unisaidie japo kwa ushauri n.k Mm ni Kijana mwenye umri wa miaka 19 na Kwa majina Naitwa Nuhu ninasumbuliwa na maumivu ya kichwa upande mmoja , kikohoz cha muda mrefu...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu yangu ameingia kwenye siku zake(hedhi) maarufu kama Period kabla ya muda. Kwa mwezi huu mzunguko ulitokea tarehe 6 hadi 10. Lakini leo kaona siku zake tena. Tangu aanze kupata siku zake...
1 Reactions
48 Replies
16K Views
Back
Top Bottom