Nianze kwa kisema.., Vyakula vya mbegu kama maharage, karanga, njegere, korosho na vyakula vya protein(nyama, samaki, kuku) ni malighafi za kiwanda cha kutengeneza nguvu za ajabu..... Hii ni...
Jamii,
Naombeni mnijuze eti mwanamke akiwa na mimba ya wiki 28 anaweza safiri zaid ya km 600? au je ni mimba ya muda gani /mwisho muda gani kuwa salama kwa safari ndefu?
Msaada tafadhali. Nimekuwa nikipata maumivu ya miguu hasa nikisimama bila movement, ila nikikaa au kulala sisikii maumivu yoyote. Tatizo linaweza kusababishwa na nini na matibabu yake yapoje.
Ndugu yangu mwenye umri wa miaka 19 anatatizo la kuwa na Kitovu kikubwa, akaulizia kwenye maduka ya madawa asili akaambiwa dawa yake itakuwepo ila akaulizie jina la hiyo dawa kwa wataalam wa dawa...
Habari zenu humu ndani? Poleni Na majukumu, Mm nina tatizo naombeni msaada nimetokewa na kauvimbe kadogo kama size ya harage shingoni chini ya sikio upande wa kulia umekaa kama wiki 3 ulikuwa...
Habar za muda Great Thinkers, poleni na misukosuko ya hapa na pale.
Naomba kuuliza hili swali kwa wataalamu wa afya au yeyote anaejua. Hivi kichwa kinapouma ni vitu gani ndo huwa vinauma ndan ya...
Ndugu zangu poleni na majukum.
Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu...
Habari wakuu,
Nimekua na aleji ya muda mrefu hasa kwa baadhi ya vitu kama sabuni zenye marashi makali,Perfumes,Mafuta ya kupaka,vumbi.na hata sehemu nikipita pana harufu kali kama uvundu au...
Nina mpenziwangu tuna miaka 4,tunapendana sana ila tatizo linakuja kwenye mambo yetu yale mpenzi wangu amejaliwa muonekano mzuri sana,mrefu na afya njema ila jamani tatizo tukiwa faragha,uume wake...
Habar za humu,
Jumatatu ya wiki hii alfajir ghafla nilibanwa na kichom upande wa kushoto juu kidg ya kiuno ilikuwa n mara ya kwanza na maumivu yalikuwa makali hayana mfano mpks nikaenda kulazwa...
Nipo dar nahitaji kufanya kupima afya kwa kutumia bima ya afya NHIF.
Unamwambia Dr unataka kupima afya tuu au unalist idadi ya magonjwa unayotaka kupima?
Hospital ipi ina utaratib mzur wa kupima ?
Wakuu naomba mnisaidie nijue nini kinasababisha uume kusimama kila mara bila kichocheo chochote. Pia nina tatizo la kuumwa na korodani. Je kunasababishwa na nini?
Asanteni
Habari za leo wakuu,
Sasa hivi yapata kama mwezi mmoja umepita niliamka asbh nikakuta kidole cha kati mkono wa kulia kinauma design kama kinachoma au kama kinawasha. Nikikibinya hakina maumivu...
Nina mtoto wa kiume ana miezi mitano awali kina mama moja wa mtaani aliniambia ulimi wa mwanao haunyanyuki hivyo akatwe kidogo ili asiwe bubu.
Lakini huyo mama nikampuuzia nikampeleka hospitali...
Kama una smart phone bna huna haja ya kuogopa tena
Install application ya period tracker inakuonesha kila kitu
Siku safe kusex
Ovulation day
Siku ngapi zimebaki upate period etc
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.