STOOL/BLOOD CULTURE AND SENSITIVITY FOR TYPHOID FEVER
Members salama ?
Naomba kujua ni HOSPITAL gani kwa DAR naweza pata huduma hiyo kwa WEPESI na ubora zaidi ukiacha Muhimbili ? ?
STOOL/BLOOD CULTURE AND SENSITIVITY FOR TYPHOID FEVER
Members salama?
Naomba kujua ni hospitali gani kwa Dar naweza pata huduma hiyo kwa wepesi na ubora zaidi ukiacha Muhimbili.
Habari wakuu, si mnajua siku hizi ni mwendo wa masinki tu huku kitu unakiona kabla hujakisindikiza na maji..
Sasa unavoona maharage yakiwa mazima kabisa tatizo ni nini?
Habari ndugu zangu sipo hapa kudhihaki wala kukosoa uumbaji wa Mungu au kumtukana yeyote kwa namna yeyote ile naomba atakayekwazika na swali langu anisamehe ndugu zangu.
Nimekuwa nikijiuliza...
Kwanza kabisa niwape pole kwa majukumu na mihangaiko yenu ya kila siku nimekuwa na uhusiano na mdada (manzi) mmoja hivi for almost three months sasa,na kiukweli tangu tuanze uhusiano wetu...
Habari wataalamu!
Naomba msaada kwa yeyote ajuaye wapi nitapata dental probiotics na gut probiotics hapa dar, hasa zile za kampuni ya hyperbiotics. Nimejaribu kutafuta hapa dar sijaona mpaka...
Habari wana JF wote.
Naomba mwenye uelewa anisaidie kuniweka wazi katika masuala haya.
Virusi vya UKIMWI vinaishi kwenye damu au maji maji yoyote yanayotoka mwilini kwa aliye athirika?
kama...
Habari za muda huu wana-JF!
ASALI inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee. Kwa mujibu...
Wenye vitambi mnaweza kusoma hii list ya vidonge vinavyoweza kusaidia kupunguza kitambi.
Hizi dawa zimethibitishwa na serikali ya Marekani, sijajua kama Bongo zinapatikana.
Chanzo ni...
Imeelezwa kuwa matatizo ya kisaikolojia yanayoendana na msongo wa mawazo yanayowakumba zaidi wanaume chini ya umri wa miaka 35, yamekuwa chanzo cha kuwepo kwa upungufu wa nguvu za kiume.
Hata...
Habari njema ziwafikie wanawake wote mlio na matatizo ya uzazi.
Wanawake wanaohusika na huu uzi ni wale wenye matatizo yafuatayo.
1. Kudaka mimba alafu hazifiki miezi tisa zinatoka
2. Kupata...
Habari ya wakati huu ndugu zangu.
Hili suala la mtu kulundikiwa dawa ukienda hospitali hasahasa sisi wa bima ni kwamba madaktari mnataka tupone kwa haraka au limekaa kibiashara zaidi.Niliwahi...
Habari wana jf. Naomba mwenyekujua naweza kupata wapi vidonge vya phertamine kwa Tanzania ama dukagani la dawa maana wameniambia inapungiza uzito ila lazima upate prescription ya daktari ambayo...
Wataalam,
Naombeni jibu. Dem kashika mimba within 3 weeks akagundua kwamba anamimba na hakua tayar kuzaa, akatumia vidonge vya kutoa mimba.
Anasema dalili zilionyesha kwamba alianza kupata...
Habari za sahizi wana jamvi ningependa mnifahamishe nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha sita sasa yeye ameniambia aitaji kuzaa tukashauriana tuitoe sasa amekwenda duka la dawa akaanunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.