Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga goli moja tu uume unalala na unachelewa kusimama. Nanukuu anavyonambia ''wewe sio bure, mara wewe kama umenichoka...
3 Reactions
83 Replies
21K Views
Ndugu wadau kuna taarifa nimezisikia kuwa mwanaume aliyetahiriwa ana asilimia chache za kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi endapo atafanya mapenz na mtu aliyeathirika na vvu, je ni kweli?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa kwani dakika moja au mbili tu inanichukua kufyatua manii hali ambayo inaninyima raha na kuchukiwa...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa ufupi Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa maradhi sugu ambayo yamekuwa yakiwapata watu wengi katika siku za karibuni. Hadi sasa hayana tiba mwafaka. Lawrence Mashati (si jina lake halisi)...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
HUU NDIO UZITO WA MWILI UNAOPASWA KUWA NAO KULINGANA NA UREFU WAKO - DOCTOR JOH
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wanajf , kama kichwa cha habari kiavyojieleza hapo juu Nina mtoto wa umri wa miezi minne sasa, jana majira ya saa moja jioni mtoto alisusa kunyonya ziwa kutoka kwa mama yake, hii...
0 Reactions
29 Replies
19K Views
Neno Sex ni 'gender' ikimaanisha jinsia. Sexual act inamaana ya tendo la ndoa lenye kuhusisha jinsia mbili. Wale wanaoenda zaidi na kufanya ile inaitwa kinyume na maumbile ni kosa kwa Mungu wao...
12 Reactions
130 Replies
18K Views
Nimeishi zaidi ya miaka 4 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi,ila tangu nilipopimwa,nimekuwa na amani sana moyoni,haswa pale nilipoambiwa afya yangu iko salama,sitasahau wasiwasi...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Dalili, nyayo za miguu zinauma, magoti yanauma, vidole kuhisi umefunga damu haipiti vinadunda, mishipa kuuma, kichwa kuuma, uvumbe kichwan kwenye kisogo, maumivu ya kifua, Homa, muwasho usononi...
0 Reactions
66 Replies
10K Views
Ndugu zangu wenye taaluma ya afya ya binadamu, naomba kuulizwa swali dogo tu ambalo limenitatiza kwa muda mrefu sasa bila majibu. Swali: Kila ninapokula pilipili au kinywaji cha baridi sana haswa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kumekuwa na matangazo mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ja uwepo wa dawa mbalimbali za kiasili zenye kuongeza umbile la ndonga.Binafsi nimewahi kutumia baadhi ya dawa lakini sioni matokeo...
3 Reactions
93 Replies
20K Views
Kwa sasa kuna wimbi kubwa la watu ambao wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, wengi wao matatizo yao yanatumiika kwa kubadili mfumo wa maisha tu na wachache ambao wamejiharibu kwa kujichua na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Leo asubuhi kuna mdudu wa kuruka kaning'ata juu ya jicho paliumaa halafu pakaanza kuvimba mpaka now jicho limevimba balaa ila sikufanikiwa kujua ni mdudu gani Ushauri plz...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana Jf Tatizo langu ngozi yangu ya uso inakuwa inajitengeneza vipele mpaka inafikia kama jipu na ukivishika unahisi kama vimetunga usaha ila avijitengenezi pakutokea inaweza ikakauka ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa,saivi kuna utaratibu wa kupimwa HIV kabla hata hujaenda maabara,nasikiasikia tu kuwa ni mwongozo wa serikali,je hii ni kweli,au ni huku tu nilipo mimi?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Msaada please! Nina ndugu yangu hapa mke wake anaujauzito wa miezi 6 ila tatizo lake ni kuwa, anaona maruweruwe machoni pake si mchana wala usiku. Je ni nini tatizo?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi nina ndugu yangu katokea jijini Dar kaja kuniona jijini mbeya lakini toka amefika baada tu yakukaa siku nne yalimuanza mafua mazito wakati mwingine ya maji maji pia kifua kina mbana na...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Napenda kuwa julisha wana JF kuwa nakaribisheni maswali mafupi mafupi yanayohusu tatizo lolote la kiafya.Maswali yote yatajibiwa mara moja kwa wiki iwe ni tatizo ulilonalo wewe binafsi au...
0 Reactions
68 Replies
18K Views
Kama kuna vitu vinaniondoa mchezoni wakati wa kugegedani ni hivi vitu vyeupe vinavyoonekana katika hatua za mwanzo wa show Haki mimi hua nashindwa kuendelea maana havihamashishi kabisa...
2 Reactions
30 Replies
12K Views
  • Closed
Je, hii hali huletwa na nini na dawa yake ni nini? Ni nguvu za giza au ni hali ya kawaida tu kwa mwanamke yoyote? Au ni sababu ya vyakula nnavyotumia? Ushauri please
4 Reactions
25 Replies
10K Views
Back
Top Bottom