Kafanyiwa LEEP lakini Sasa alipoingia hedhi damu inatoka nyingi na siku zinapita tu hedhi haikomi.
Leo anaenda tena Kwa Daktari wake,je humu kuna wajuzi wa chochote kuhusu hii condition...
Wanawake wanaougua magonjwa ya figo hukabiliana na matatizo ya uzazi hasa kushindwa kushika mimba na hata kuharibika kwa mimba.
Kutokana na hali hiyo madaktari hulazimika kuwasaidia kukomaza...
Waungwana naombeni ufafanuzi wenu juu ya tetesi/hoja kuwa kuchanganya asali pamoja na limao kwa wakati mmoja inaweza kupelekea kifo kwa mtumiaji kwa kigezo kuwa Mchanganyiko huo hugeuka kuwa sumu...
Nisaidieni mwenzenu jamani nimepata manzi mzuri balaa kaumbika idara zote nilikuwa sijui kumbe ana kipaji cha kukoroma,huu mwezi nalala kwa taabu sana najikuta mkesha..Saa hizi nipo kwenye ule uzi...
Hi People.. nahitahi tu kujua eti hapa Bongo ear surgery huwa inafanyika ili kuweka sawa visikio vilivyojitokeza sana..
Nina ndugu yangu anapata shida sana mpaka naona aanakuwa affected...
Mabibi na Mabwana habari zenu?
Niende mmoja kwa moja kwenye suala langu. Suala lenyewe ni kuhusu kiwango cha kasi katika kuongezeka watu wenye matatizo ya akili, binafsi nimejaribu kuwaza na...
Baadhi ya watu wamekuwa wakijenga hoja kuwa kuishi, kutembea au kusoma karibu na minara ya simu kunawaweka watu katika hatari ya kupata kansa au matatizo mengine ya afya.
Lakini mpaka sasa hakuna...
Wakuu natanguliza heshima kwenu.
Nimefanya kipimo cha MRDT (Malaria Rapid Diagnostic Test) kwenye zahanati mbili tofauti.
Katika zahanati ya kwanza nilichajiwa sh. 2000 wakati katika zahanati...
mke wangu anasunbuliwa na maumivu ya tumbo ambapo huwa linawaka moto,huchomachoma,kuuma chini ya kitovu,kwenye kiuno na mgongo na wakati mwingine huwa kama ametoneshwa.
Habari,
Kwanza kwa faida ya wale wasio elewa blighted ovum ni tatizo ambalo huwakuta wakina mama la kuharibika na hatimaye mimba kutoka.
Naomba kwa wale wenye utaalam,uzoefu na wabobezi kwenye...
Samahani wataalamu wa afya rejea kichwa cha habari hapo juu nimetumia SP siku ya ijumaa nlikua na malaria 4, sasa nauliza baadae naweza nikanywa pombe manake nna kiu mbaya na nimepata mwaliko...
Habari za jioni wapendwa,kama mada inavyojieleza hapo juu,nasumbiliwa na UTI huu ni mwezi wa pili sasa unaenda.nimemeza dawa zote nilizoshauriwa na dakitari lakini bado haijapona.niliandikiwa...
Habarini wanajamvi ninahitaji msaada wenu kuna vinyama kama vipele ila sio vipele vimetokea kwenye shina la uume , nilikuwa nataka kujua tatizo nini na tiba yake nini
Habari za Jioni wana Jukwaa,
Katika harakati za kupunguza uzito nimeamua kununua baiskeli ili niwe naendesha maana naona ni zoezi zuri sana kwangu.
Tatizo linakuja hapa kila mwanaume ninaekutana...
Habarini za mda huu ndugu zangu wana jamii samahani naomba kusaidiwa kujua tarehe ya mama kujifuangua maana tarehe ya mwisho ya mama alipoingia period haikumbuki ila mimi nakumbuka nilikutana naye...
Wapendanao wakipeana raha hufika kileleni mara utaona dushe la mwanaume linatanuka aĺafu uke unabana, unasikia wazungu wanatoka na kuingia uĺaya na hapo mwanamke humwaga na yeye maji meupe...
Habari wandugu nina mzee wangu ana 94 years anasumbuliwa na tatizo moja Kkla siku anaweza kupoteza kumbukumbu na kuishiwa nguvu kabisa kama kwa saa moja au mpaka matatu baada ya hapo, anapata...
Wakuu,
Tatizo langu ndo hilo kwamba usiku kucha sipati kabisa usingizi, lakini kukishapambazuka ndio nahisi kulala. Sana mida kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi jioni saa 12 nakuwa na usingizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.