Kuna mdada anaomba ushauri huwa anakaa muda mrefu bila kugegedwa mzunguko wake wa hedhi ni siku 28 ila ikitokea amegegedwa mzunguko wake unabadilika hadi siku 35 asipogegedwa siku 28.
Anaomba...
Wadau salama huku.
Mwanangu ana miaka 3 na nusu, inatokea mara kwa mara (kama mara 2 hivi ndani ya miezi 4) anakuwa na moto sana mwilini. Ukimpima kwa ile thermometer joto linaonekana la kawaida...
Watanzania wengi tunadhani prostate cancer au Tezi dume ni mabusha. Tunaomba
Wataalamu watuelezee hapa kitaalam namna Kipimo cha kidole cha Kati kinavyofanya kazi. Pia mashart ya dawa ya...
Wakuu,ni utafit wa wik1,.mstake jua methodology
Okay,ni hiv,..kwenye ubongo wa binadam kuna sehem ambayo inatafsiri mambo yoote yahusuyo kutamani then inaamuru vichocheo kwenye mishipa na misuli...
Habari zenu wapenzi Naombeni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nimepima kila kitu sinapati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha...
Habarini Za Mchana Wana JF..
Naombeni Ushauli Juu Ya Hii Shida..
Pale nivuapo nguo ya ndani{boksa} huwa nakuta mabaki ya matone ya manii so najiuliza hali hii ni kawaida au ni ungonjwa?
Naombeni...
Nimejiwekea tabia ya kutokula au kutofanya chochote kwa kuwa nimemuona mtu fulani akila kitu hicho na labda akakisifia kwamba ni kizuri.Na pia kutofanya jambo lolote kwa kuwa tu eti nimemuona mtu...
Wadau, mara nyingi kumekuwa na sms zinazosambazwa kupitia social media, lkn hakuna mamlaka inayojitokeza kuzipinga au kuzitolea ufafanuzi.
Sasa kwa mara nyingine tena, nimetumiwa ujumbe wa...
Nimekua nikijiuliza bila kupata majibu yaliyokamilika kuhusiana na tabia ya baadhi ya wanawake kupiga punyeto kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume.
Ni nini hasa sababu ya wanawake kujihusisha na...
A revolutionary eyedrop invention from a team of Israeli ophthalmologists has been found to heal damaged corneas and improve the vision of pigs. Clinical trials for humans are expected to begin...
Kwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa...
Wakuu habari za saa hizi,
Nahitaji msaada,
Kujua gharama za kujifungua kwa operation katika hospitali za private? Nina mwezangu ambae ni mjamzito sasa nataka kujianda kwa chochote endapo...
Wadau,
Kuna jamaa yangu wa karibu leo alipima macho na ameambiwa ana pressure ya macho na amepewa rufaa kwenda hospitali kubwa zaidi kwa ajili ya vipimo zaidi, hii inasababishwa na nini na tiba...
Habari za jioni ndugu,
Naomba nilete uzi huu kwa lengo la kuwasaidia waume na wakaka kwenye tatizo la sperm count. Naomba watalaam mjitokeze mtuoe elimu na solution yaani matibabu yake hususani...
Nina mpenzi wangu hii ni siku ya saba bleed haijaacha, na tumbo linamuuma sana likiambatana na homa mpaka namuonea huruma kuna dawa niliulizia nikampa ila haikuleta mafanikio yoyote yale msaada...
Mwanangu anaumri wa miezi miwili, kipindi cha nyuma mambo yalikua shwari hakua na tabia ya kulia usiku hivi karibuni tabia yake imebadilika na usiku wa kuamkia leo ndo imekua funga kazi, mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.