Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wanajamvi,jaman naombeni msaada wenu nina mdogo wangu ana miaka 24 miaka ya nyuma alikuwa akipata siku zake kama kawaida ilipofika mwaka jana mwezi wa 7 siku zikaanza kwenda hovyo akawa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Jamani nina wake wawili kila mmoja anaishi nyumbani kwake nyumbani za kawaida sana ila wanazipenda mana ni watu wa dini zaidi , wanapendana saaaaana wao kwa wao tena sana mana nimejaribu...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Nimesikia habari za soda na madhara yake, sasa nimeamua kupunguza soda niwe nakunywa juice. Na juice rahisi kabisa kuipata ni ya Azam (napendelea zaidi ya box, mango). Sasa kuna mtu ananiambia...
2 Reactions
24 Replies
12K Views
Mke wangu anapatwa na tatizo hili mara kwa mara kwa sasa yapata miezi miwili! vipere hivi vinakuwepo nje ya sehemu take ya uke, nitumie njia gani kumaliza tatizo hili?msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wandugu, Napenda kufahamu kitaalamu juu ya imani au uvumi kuwa mtoto mchanga anapozaliwa lazima mzazi na hasa mama ahakikishe kuwa kitovu cha mtoto huyo kitakapokauka na kudondoka basi kisiguse...
3 Reactions
136 Replies
88K Views
Habari zenu wakuu. "Mume wangu alifanyiwa upasuaji na kutolewa scrotum(Korodani) alikuwa akipata shida sana pindi anacheka utamuona anacheka mpaka machozi kumbe ndo kilio kinafwatia baada ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za asubuhi madoctor wa JF, mm nina tatizo limenianza siku ya tatu sasa, kibofu kinawaka moto, mkojo unanibana kila mara na nikienda kukojoa mkojo unatoka kidogo ukiambatana na maumivu...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wakuu naimani hamjambo nawanaoumwa poleni wenye ujuzi watujuze wakuu mimi mkewangu nimjamzito na anamiezi mine4 na hii nimimba yapili tatizo alilo nalo ni kuumwa katika nyonga ya mguu wa kulia...
1 Reactions
67 Replies
60K Views
Habari wadau, Naomba kuuliza kwa ambae ametumia bidhaa za EDMARK za kupunguza uzito je ilimsaidia kweli ama kama una mtu unaemjua alitumia bidhaa za EDMARK akafanikiwa kupunguza uzito. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu ninaomba kujua kwanini ,kuna baadhi ya ke huchelewa kujifungua tofauti na kawaida ya ,miezi Tisa?
0 Reactions
5 Replies
930 Views
Kucheka hupunguza homoni za mkazo (stress hormones) na kuongeza seli za kinga ya mwili hivyo kuongeza kinga dhidi ya maradhi. Kucheka pia huchochea utokezwaji wa endorphins kemikali inayomfanya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Usiku wa kuamkia Leo hii nimepata tatizo la kuziba kwa sikio moja la upande wa kushoto baada ya kuamka na kutaka kupenga kamasi lakini cha ajabu sikio likaziba na kutoa maumivu makali sana mpaka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nn matatizo ya mwanaume ama mwanamke mwenye group la damu lenye negative rhesus factors katika kupata watoto? Ushauri gani afuate kama ana hilo group?
0 Reactions
9 Replies
10K Views
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA KISUKARI [emoji298]usinywe soda ya aina yyte na juisi za viwandani [emoji298]acha chai ya rangi na kahawa [emoji298]jishughulishe na mazoezi [emoji298]ongeza...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ninapokuwa nasex na mke wangu huwa napata maumivu makali sana kine shina la uume kiasi cha kukosa raha naomba unisaidie ni nn tatizo
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hivi karibuni niliamua kufanya biashara ya Pweza hivyo nikaona ni vyema nifanye utafiti wa kina kabla ya kuanza,hii ni biashara nzuri hapa Dar es salaam na mtaji wake sio mkubwa pia inatoa fursa...
2 Reactions
86 Replies
38K Views
Kwa upande wangu,hapa Tanzania,sijawahi kuziona,ila huwa nawaona specialists wakitoa chanjo mtaan,ndo kusema fursa hii doctors hamuioni? au hamna haja?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inaeleza
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu? naombeni msaada wenu wapenzi nina tatizo napata shida kupata usingzi ikitokea nikipata ni kwenye saa 7 usiku na nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwani yote nilivyofanya...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom