Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mke wangu alijifungua tar 6/01/2018 mtoto wa kiume shida amekuwa na changamoto ya kukoswa maziwa ya kutosha kunyonyesha mtoto afanyeje ili kupata maziwa ya kutosha kumnyonyesha mtoto?
0 Reactions
15 Replies
23K Views
Habari wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavosema..hiyo hali imenianza juzi....msaada tafadhali!! #Shukrani
1 Reactions
62 Replies
13K Views
Kimsingi ndoto ni hadithi na picha ambazo hutengenezwa na akili zetu wakati tukiwa usingizini. Ndoto zinaweza kukufurahisha, kukuhuzunisha au kukuogopesha. Wataalamu wanadai tunapata ndoto nne...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu wa Vitengo habarini! Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa. Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Uume ni sehemu nyeti sana kwa mwanaume na mwanamke pia, nimesikia wadada fulani wakilalamika katika maongezi kuhusiana na namna ambavyo uume mbali mbali zilivyokaa na athari zake wakati wa tendo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa anayefahamu matumizi ya mafuta ya Khadar tafadhali. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nini kinasababisha uume kutosimama imara? Yaani unakuta MTU unataka kugegeda unakuta uume upo legelege, nini sababu? Je tatizo linaisha kwa kufanya nini? Hospitali gani inaweza tibu hili tatizo?
1 Reactions
28 Replies
20K Views
Msaada wenu Dr's humu jamani nimeungua na moto wa gas baada ya kutokea mlipuko wakati napika maeneo niliyoungua ni usoni mpaka sasa nimetumia asali pekee kama tiba ya huduma ya kwanza. Naombeni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Njia hii ya kwanza hutumika hata kwa aliye fungwa kizazi, nguvu za kiume , ama kuna mtu au kitu unataka kusahau kabisaa hapo ni wewe na nia yako Allah ndiye mjuzi zaidi. NJIA YA KWANZA Chukua...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Waungwana hivi kile kifaa cha kusafisha tumbo Kwa kikiingaza nyuma kinaitwaje? Watu wa zamani walikitumia sn.Na picha yake please nikione.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mda wa miaka 18, jicho langu la kulia liliugua likaacha kuona,saivi halina mtoto wa jicho,je naweza pona? kulingana na mda ambao nimeshindwa kulitibia kwasababu ya Ukata
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtindi unaorodheshwa kuwa miongoni mwa vyakula bora kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo vina faida nyingi katika mwili wa binadamu. Vikitajwa kwa uchache...
3 Reactions
11 Replies
15K Views
Wakuu, ni siku ya tatu sasa naumwa sana shingo upande mmoja. Hii sijui imetokana na nini? Pengine ni kulala vibaya kwa sababu nimetoka nje ya Dar niko mkoa now so ninalalia kitanda 'kipya'. Hapa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu wa Vitengo habarini! Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa. Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimepimwa macho nikapewa miwani nikaambiwa niivae muda wote.Tatizo nikivaa naona kizungu zungu marue rue badala ya kuona vitu mbele naona mawingu blurred images.Naomba msaada Opticians na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NENO KUHUSU MAGONJWA YA AKINADADA NA AKINAMAMA - MAGONJWA YA AKINAMAMA YAMEUCHACHAFYA ULIMWENGU TANGU ZAMANI SANA *Padri Titus Amigu* Nadhani tumejipatia muda mrefuna wa kutosha kujadili mada...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwema wa wana JF?, bila shaka swali lipo clear na naamini Madoctor kwa ufasaha kabisa. Baada ya tafiti zangu kutoka kwa wanachama wa Punyeto mashughuli wamenithibitishia kuwa fanya ufanyavyo...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Wapendwa kama kichwa kinavyosema hapo.Kumekua na kauli nyingi juu ya kitendo cha kupiga punyeto na kubaki wakishutumiwa wanaume pekee.Kwanza ningependa tutambue punyeto ni nini. Punyeto ni...
1 Reactions
1 Replies
14K Views
Habarini wana Jamii Naswali je ni kawaida kwa mtoto baada ya operation amekaa wiki 2 alikuwa hakoromi ila wiki ya 3 ameanza kukoroma naombeni mawazo yenu.
1 Reactions
1 Replies
10K Views
Tar 30/01/2018, nilienda na mama kijacho wangu ktk zahanati moja ya Serikali kwa lengo la kuanza Kriniki kama nimepatia, na tulienda wote hiyo siku ya kwanza kwakuwa kanuni na taratibu zinataka...
2 Reactions
23 Replies
20K Views
Back
Top Bottom