Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mimi huwa napenda Sana kucheki afya yangu na hasa vipimo vikubwa Kama H.I.V ninaweza kucheki mara 3 kwa mwaka au chini ya hapo ila mwenzagu yeye ni mbishi wa kupima H IV balaaa...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wanaJF. Pls naomba kufahamishwa yanapopatikana mafuta ya mwarobaini. Msaada pls
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Dooo doctor mimi sasa hii yapata mwezi na nusu naona dalili za ambazo zinanitisha, mwazoni kabla nilikua nasumbuliwa na homa za hapa na pale nikaendae mnazi mmoja nikapata vipimo vya kawaida sina...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa mwenye kuijua hii dawa naomba maelezo kidogo, Nimesikia ni dawa nzuri ya asili ambayo inatibu magonjwa mengi ya mifupa mana mzee wangu kuna mguu unamsumbua na kuna mtu kanambia niitafute hii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitaji dawa tajwa hapo juu inaitwa progesterone hii dawa ni maalum kwa watu wenye homon balance Nimetafuta maduka makubwa hapa dar nimekosa Thanks
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini waungwana na shughuri zenu... Lengo la kuandika Uzi huu ni kuomba msaada kwa anaefaham hali iliyonikuta Leo. Sina kawaida ya kula Nazi na maji yake, lakini niliamua kunywa yale maji...
1 Reactions
3 Replies
734 Views
Kwanini Wanawake wote wanaonipa ushirikiano wao wa Kingono ( namaanisha ninaofanya nao ngono / mapenzi ) huwa nikishamaliza tu ' Kuwakojolea ' manii yangu ndani ya muda mchache tu huwa wanakuwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Naulizia kama kuna tiba au huduma yake ikoje, kuna mtoto ana ile wanaita Kimeo, hospitali wameangalia ameonekana nacho na nimewazuia wazazi kwenda mtaani kukikata, sasa naomba mnisaidie maana wa...
1 Reactions
27 Replies
24K Views
Ukosefu wa kinga mwilini jamani katika tiba asili, ni dawa gani zinauwezo mkubwa wa kupandisha kinga iliyo toweka katika mwili wa binadamu? Natanguliza heshima kwenu.
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Asclepius alikua mungu wa uponaji zamani za kale katika dini na imani ya ki-Giriki. Asclepius aliwakilisha uponaji katika nyanja ya utabibu, mabinti zake ni Hygieia (Hygiene, ambae alikuwa mungu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu? Nmekuwa na tatzo la kuskia vtu vinanichoma mwilini kama vile nachomwa na cndano au ktu chenye ncha Kali, na kuna wakat kiganja cha mkono wa kulia kuchezacheza yan kama vile una...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Jamani,baada ya kujifungua kwa njia ya kawaida,kumekua na mkanganyiko wa kutoka damu (bleeding) irregulary.Nilienda hospital nikapewa dawa ya kutumia,damu ilikata halafu baada ya muda ikaja bleed...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyosema hapo juu Leo nimeona nije na Uzi huu ili tuchukue tahadhari kuhusu wadudu hawa ambao tunaishinao miilini mwetu bila kujua, au kutokujua kanuni za afya. Vimelea vya...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu salama? kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia dawa za yule mhindi anaitwa Shastri(Shastri herbals) ni kweli zinatibu?
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Hi jf doctors na wataalamu wote wa afya! Nimekuwa na hali iliyoshamiri mwilini mwangu sielewi mishipa ile ya kijani inakaza haiyumi lakini nakereka naskia siko kawaida kabisa sambamba naya miguu...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Wakuu mimi kuna wakati huwa napatwa na ndoto za mambo Ya kuuzunisha sana ambayo hupelekea moyo kuwa na maumivu na uchungu mkali. Sambamba na hayo pia nakua natoa machozi hadi shuka inalowa na...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
I found out that, regular cranberry juice is better for bladder infection than organic cranberry juice because of the acidity of the preservative- benzoic acid.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu amevimba korodani ya upande wa kushoto kama jipu limekuwa Na maumivu ya ghafla na kumnyima raha Lina mdomo mdogo ambao hutoa majimaji likikamuliwa Hospital alichoma sindano ila...
0 Reactions
6 Replies
19K Views
habari wanajamii ! mimi ninanduguyangu anamiaka 30 anatatizo la UTI anaambiwa uti sugu alipewa dawa haikusaidia akapigwa sindano za mishipa kwajili ya dawa kama marambili lakini bado mkojo ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom