Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu, Naomba kufahamishwa dawa ya asili (ya kienyeji isiyo na madhara) inayoweza kuyeyusha Mafuta mwilini, Najua huku wapo wajuzi wa mambo ya afya na tiba a silk. Wasalaam.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu napenda kutumia nafasi hii kuuliza,ipi ni tiba sahihi ya jino lililo aribika na lenye maumivu. Nimetumia tiba ya Mzizi Mkavu,mkojo lakini mwezi sasa jino haliponi. Jino ni la juu,nina...
1 Reactions
4 Replies
25K Views
Kama kichwa cha habari elezwa hapo juu kinavyojieleza , Leo nikiwa naelekea Posta tokea Kimara mara mama moja akawa anapayuka na kumshambulia kaka fulani kwamba kashindwa nini kudindisha mbele ya...
4 Reactions
50 Replies
12K Views
naomba kujua tatizo la kutodindisha kwa muda unaouhitaji wew unasababishwa na nin na nn tiba yake
1 Reactions
3 Replies
780 Views
Msaaada matibabu ya hii kitu DR...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wapendwa Phamarcy Gani kwa mkazi wa Dsm ambayo hutoa dawa kwa kadi ya bima?.... maana mgonjwa kapewa karatasi la dawa akanunue farmacy wanazotumia bima. Je ukienda mtu tofauti na mgonjwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kiukweli naandika uzi huu nikiwa nabubujikwa na machozi, mana nimelipia hela ya operesheni na kupewa kitanda..kinachoendelea kila siku madaktari wananibadilishia siku ya kufanyiwa operesheni.na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za usiku ndugu zangu wa jf nilikuwa nataka kujua ukweli kuhusu kwamba "mtoto wa kiume pindi kitovu chake kikikatika kikaangukia kwenye uume wake wanadai kwamba mtoto anakuwa hanisi...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
1. Nina kabiliwa na tatizo la korodani yangu ya upande wa kushoto kuwa ndogo na laini kuliko ya upande wa kulia sambamba na uwezo wa kugegeda kupungua. 2. Ninalo tatizo la kuwa na mate lain yanye...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
ZIFAHAMU FAIDA 7 MUHIMU ZA KUJAMIIANA KWA KIWANGO STAHIKI. Tendo la kujamiiana kwa walio wengi limekuwa ni tendon bora sana has a likifanywa na wenza ambao kila mmoja ana mvuto wa kimapenzi na...
2 Reactions
32 Replies
18K Views
Habari za asubuhi wapendwa natumaini ni Jumatatu nyingine tena ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo juu. Je kwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ninamtoto anasumbuliwa na ugonjwa wa taifod na u.t.i...,je kuna tiba yadozi moja kuweza kutibu magonjwa yote kwa wakati mmoja?
0 Reactions
9 Replies
14K Views
Habari wana JF, wife anawashwa sana sehemu zake za siri na ameenda hospital zaidi ya mara mbili lakini sioni mabadiliko hospital wamempima damu na mekuwawakimbadilishia dawa bila mafanikio...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza kuoga! Ni makosa makubwa haya. Hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana JF Doctor vipi heka heka za Uchaguzi?Mwenzeni nina tatizo la kusinzia ofisini na nikiamka naamka nimechoka macho yanakuwa mazito na kuchoka. Naamka alfajiri sana( 5.30am) sana kwenda kazi na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ma daktari wetu huku Africa huwa wanajitahidi sana kutuhudumia, wengine hujituma hadi kufanya tafiti ya tiba mbali mbali kwa maradhi mengine yanayoibuka kila leo, ila sasa wana changamoto moja tu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Je porns zinapunguza uwezo wa kufanya Mapenzi kwa muda mrefu?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Rafiki yangu amezaa mtoto bila miguu, naweza kusema kuna vestigial legs. It is as if tibia and fibula bones are vestigial. Kwingine kote yuko vizuri ! Inawezekana ilisababishwa na nini? na katika...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
As an add-on to their previously secretive partnership, Genmab is now licensing its bispecific antibodies for Gilead‘s pursuit of an HIV cure for as much as €248M. At the top of the Pyramid of...
5 Reactions
38 Replies
9K Views
Hivi siku ambayo mwanamke mimba inaingia mwilini mwake kuna dalili yoyote ndani ya hiyo siku au kwa muda huo wa tendo? Na je ni dalili gani hizo? [emoji120] [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
66 Replies
11K Views
Back
Top Bottom