Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari nauliza nimadhara gani unaweza kuyapata ukijisafisha uke kwa kidole kama makungwi wanavyofundisha asante
0 Reactions
15 Replies
22K Views
Wajemen nna ndugu yang aliabotion kama mara3 last year kwa kutumia misoprosol sasa ameshka mimba kwa zumun lakuzaa na ina 2weeks ila chakushangaza anaona uchafu watoka ulochanganyika na dam jee...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nguvu na nyege ni muhimu katika kufurahia tendo la ndoa, maparachichi yanaweza kukupa vyote viwili. Maparachichi yana madini, mafuta (yanayolinda moyo na kupunguza lehemu/cholesterol) na vitamin...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Tatizo la kuziba mkojo linatoka na nini?? Vipimo vya mgonjwa vya tezi dume vinaonyesha lipo normal. Naomba msaada wa chanzo na matibabu yake!!
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Samahani wakuu Mimi nimemaliza kidato cha nne nataka nikasomee diploma ya clinical officer naomben ushauri kama inafaa pia kuhusu ajira na mshahara wake ukoje kwa sasa. Thankx
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wadau,kuna dada anauliza kama anaweza kutumia folic acid na ujauzito wake una miezi 3.au muda umepita haviwezi kusaidia tena??wajuvi karibuni sana..
1 Reactions
19 Replies
11K Views
Mikono ni njia rahisi sana ya kusafirisha bacteria kwenda mdomoni. Mdomo na sehemu za siri ni lango la maadui kuingia mwilini (port of entry). Ngozi ikiyijeruhiwa pia inaweza kuwa lango lakini...
7 Reactions
9 Replies
3K Views
Tunaye baba yetu mkubwa aanatokwa na haja ndogo muda wowote hivi tatizo ni nini? dawa ni ipi ya kienyeji au ya kizungu. nomba msaada kwa hili.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na mafua huwa yanapona lakini haizidi wiki mbili yanaanza tena, amepima mpaka HIV yuko salama..Ila ndo hivyo mafua yanamtesa.. Mwenye uelewa atujuze..
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Figo ni kiungo muhimu katikamwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili ,figo hufanya kazi ya kurekebisha kiasi cha maji mwilini (electrolyte level) kabla damu...
7 Reactions
25 Replies
17K Views
Hili ni tangazo nililotumiwa kupitia Zoom Tanzania, nimeona ni share hapa ili wenye matatizo hayo au wenye ndugu, jamaa na marafiki wenye matatizo hayo waelewe. Kama kuna "catch" yoyote sielewi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
What Are Kidney Stones? As the kidneys filter waste from the blood, they create urine. Sometimes, salts and other minerals in urine stick together to form small kidney stones. These range from...
17 Reactions
47 Replies
38K Views
habari jioni wakuu,poleni na majukumu ninashida moja ndugu zangu ya kwikwi, kila nikinywa chai yenye tangawizi, au viungo nimekuwa napata hali ya kwikwi kila nikipiga funda,naweza kunywa kikombe...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Moja ya sababu kubwa ya wanaume kutoka nje ya mahusiano ni pamoja na kuyakimbia matiti yaliochapa usingizi a.k.a malapa a.k.a ndala a.k.a usingizi wa pono na kuzifuata chuchu konzi a.k.a chuchu...
2 Reactions
92 Replies
17K Views
Nini maana ya kansa ya ngozi? Hii ni uharibifu wa ngozi unaotokea katika seli ya ngozi na kukufanya uweze kusikia maumivu makali sana, ugonjwa huu hutokea kwasababu mbalimbali kama zifuatazo...
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Habari..!!?. Ni hivi.. Inasemwa ya kwamba dawa za uzazi wa mpango za kizungu zina madhara makubwa kwa watumiaji. Je kuna ukweli wowote katika hili?? Wanajavi tupeane elimu juu ya hili tafadhali..
0 Reactions
6 Replies
926 Views
Wataalamu wa hii kitu naomba kuuliza kama tayar kishanasa.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanasayansi wamepiga hatua kubwa katika matibabu ya binadamu kwa kupata kipimo cha damu kinachogundua aina tofauti za Saratani. Timu ya Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Johns Hopkins wamefanyia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini za j3 ladies and gentlemen, kwa sasa wife ni mjamzito na alikuwa anasumbuliwa saaana na tumbo hvyo baada ya kwenda hospital tukashauriwa afanye kipimo cha ultra sound ili wajue mtoto...
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Back
Top Bottom