Me ni kijana wa kiume.
Naomba msaada wa kujua kwanini nakojoa mapema sana ninapokuwa kwenye tendo la ndoa? Maana hunichukua dakika 2 mpaka 3 kufika kileleni kwa bado la kwanza.
Kwa bao la pili...
Habari yenu wana jukwaa, hivi juzi nilikuwa nahisi maumivu ktk kifua upande wa kushoto lakini si maumivu makali yaani nahisi kero tu na inatokea mara chache tu japo sasaivi nahisi inaweza kutokea...
Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Mwenye jibu la kisayansi anisaidie.
Kama mama ananyonyesha mtoto mfano mwenye umri miezi 9 na kuendelea, akipata ujauzito, kuna athari zozote kuendelea kunyonyesha mwanawe?
Nina binti wa mwezi mmoja ratiba yake ya kulala ilikuwa nzuri tu na ya kawaida kama watoto wengine lakini cha kushangaza jana usiku hakulala kwa masaa kama sita yaani aliamka kama SAA tatu ya...
Habari zenu wanajukwaa,
Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza kuna uhusiano gani ulipo kati ya mkojo na ujauzito, kupima mkojo kwa wadada imekuwa njia mojawapo kubwa ya kujua kama mtu ni mjamzito au...
Salamu kwenu JF Doctors,
Naheshimu sana uwepo wenu katika jikwaa hili na natambua mchango wenu katika idara hii ya Afya,
Naomba nijikikite kwenye swala lililonileta hapa, Nina mtoto mwenye umri...
Naomba kujua dalili hizi zinaweza kuwa ugonjwa upi..
-kuchoka mara kwa Mara na usingizi mzito
-kuwa na hasira
-kuwa na njaa muda wote hata kama chakula kikiliwa
Nilikuwa napenda kufahamu ni...
Habari zenu nduguzang wana jf;
Kwa ufupi zaidi nikama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu
Sio story dhahania hii, kwa vijana na wanandoa walioweng tatzo la kupoteza ham na hisia za mapenzi...
Wakuu msaada hapa Kwa wazoefu
Alimaliza period yake tarehe 8
Na akasex tarehe 16 je kuna uwezekano wa
Kupta ujauzto hapo maaana amesex
Sku ya 8 baada ya kumaliza cku zake
Najikita kwenye swali langu moja kwa moja bila kupoteza wakati.
>>Nilifanya kipimo cha hiv test cha bio line. Nikasoma majibu ndan ya dk5 hadi 50 the answer wasa negative kwa maana ya line moja...
Wapendwa tupitie sehemu ya maandiko kuhusu vyakula visivyofaa kutumiwa na mwanadamu!
Bwana akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia. Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia,
,**Wanyama hawa ndio...
Wakuu matunda aina ya tende yana kazi gani ?na kwa siku ngapi yana fanya kazi ,na je mazuri kuliwa yakiwa mabichi su makavu ya supermarket?
Juisi ya tende je iko vizuri ?
Samahani naomba kuuliza kwa wazoefu wa masuala ya ngozi. Akija mtaalamu, itapendeza zaidi.
Nilikua napenda kujua kuhusu vidonge vya kufanya ngozi ing'are. Kama vipo, vinapatikana wapi na gharama...
Nilichoma sindano mwezi Wa 9 mwaka Jana ikatakiwa kuisha mwez wa11 katikati ya mwez uo nilitakiwa niingie period but mpaka mwaka huu January sijaona ata tone la damu.nilivoona ivo nikaend kwa...
Habari wataalam wa afya.
Sikio langu lilikua linawasha kwa muda mrefu na kutoa nta za langu tofauti na kawaida (zinaelekea na rangi ya usawa)
Leo nilifanikiwa kumpeleka binti yangu hospital...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.