Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu. Mara ya mwisho kuingia siku zangu ni Octoba 30, hadi leo hii December kimya inapita tu siielewi na nimepima UPT sina ujauzito, wakati chuchu zinauma na wajati mwingine...
3 Reactions
105 Replies
16K Views
Nimekuja na ushauri huu kutokana na kuwa madaktari kunawkt km wanabahatisha vile na ukija kufika Muhimbili utaambiwa tatizo co hilo na unakuta umepoteza muda na pesa na ugonja umefika pabaya. Kuna...
0 Reactions
6 Replies
910 Views
Wasalaam! Naomba msaada kwa wadau wenye uzoefu namna ya kupanga na kupata mtoto wa jinsia flani kwa mwanamke ambaye siku zake hazipo costant, je wenzetu huko mnafanyaje? Kwa wakubwa tu, watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nataka nianze kutumia dawa kwa ajili ya kupata usingizi ule mzito zaidi. Maana nina mawazo na stress zinazonifanya nikose usingizi kabisa usiku kutokana na kufikiria mambo mengi kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu wa humu JF,Mimi ni mnene sana Nina 105 kg nimepima Juzi. Najitahidi sana kufanya Mazoezi lakini sipungui,Kwa kweli nauchukia unene kuliko kitu chochote na mbaya zaidi Nina kisukari...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Huenda tumewaona wengi wao kama mashujaa, vijana wa kisasa au hata dada zetu wanaokwenda na wakati, kumbe ni wagonjwa wa akili. Unasikiliza taarifa ya habari jioni. Unasikia kuwa, mwanamume...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamii forum... Naomba niwakilishe tatizo hili.. nina mpenzi wangu ana tatizo la figo. Ameenda kwa madactari wamemwambia figo yake ya upande mmoja imeshuka kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini za jioni wana jf. Nina moja la kitalaam, ambalo mm limenishinda. Siku tatu zilizopita mke wangu alifanyiwa kipimo cha ultrasound. Majibu haya kunilizisha kwa umri wa mimba uliopatikana...
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Heshima yenu madoctors; Samahani naomba kuuliza, hv inawezekana kwa mtoto kuzaliwa akiwa na blood gloup B+ huku wazazi wake ni A+ na O+? Kwa mwenye kufaham vizuri hii Biology naomba kujua tafadhali.
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari,kuna dogo hapa wa kiume kwenye boundary ya testis(mayai) zake na mapaja kuna kama layer au utandu ambao umefika mpk mapajani kidogo, Na ukifika wakati fulan (joto) huwa kama kunatoa...
1 Reactions
7 Replies
958 Views
Mke wangu anapata maumivu na kuwashwa ukeni, Nimempeleka hospitali amekutwa na UTI ila sina hakika kua sababu za kuwashwa kwake ni UTI pekee maana kabla ya yeye kupata hilo tatizo, nilitembea na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana,Pamoja na kuwa mtu mzima katika siku ya jana nilikuwa natafuna ubuyu lakini ghafla tu nikajikuta nimemeza ubuyu,je inakuwaje hapo jamani, Tafadhalini sana naombeni msaada
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwenu wana jamvi, nina rafiki yangu au tuseme ni ndugu yangu amekuwa na tatizo la mda mrefu la kudumu la nguvu za kiume, na yeye kikubwa kinachomkuta ni kufika kilelen chini ya dk 1 mda mwingne...
1 Reactions
2 Replies
896 Views
Poleni kwa kinachoendelea wakuu na harakati za kubomolewa na changamoto za hapa na pale.. Hisika na title hapo juu nimekaa nikajiuliza nikakosa jibu nimeona nililete kwenu angalau niridhike maana...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Wataalamu tofauti wa Afya hasa madaktari wa meno, wamebainisha kwamba mswaki lazima ubadilishwe kila baada ya miezi mitatu. Hata hivyo, wengi wetu hatuzingatii hii kanuni ya kiafya ipasavyo kwa...
2 Reactions
70 Replies
11K Views
Ni kama wiki 3 sasa toka niugue,nilipoteza maji mengi kwa kuhara kwa cku 3,nikalazwa kwa cku 4 na kuwekewa drip 19,... madrip 13 ya maji,1 la glucose na 5 za dawa mbalimbali.Shida inakuja,nimesha...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Helloo Guyz Habarini jamani Naombaa msaadaaa mwenye mawazo juu ya Mwanangu.Mtoto wangu ana miezi sita ni mchangamfu sana ila shida yake ni shingo yake bado haijakaza vizuri kabisa na anaangalia...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Straight to the topic. kwa ufahamu na umri nilionao, nimegundua kuwa siku hizi mama zetu wengi wamekuwa wakijifunguakwa operation(upasuaji) tofauti na miaka kumi au zaidi kurudi nyuma. Nimejaribu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu mnaofahamu suala hili mnijuze nielewe. Kuna jamaa mmoja anamke wake na alinieleza kuwa anashindwa kujua timing nzuri yakumpatia ujauzito mke wake. Yeye mke wake ameanza hedhi tarehe...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Back
Top Bottom