Habari za majukumu wakuu, kwa wale wataalam wa afya. Je ni kawaida kwa mwanamke kuwa na damu inayoteleza wakati anapoanza siku zake ( menstruation cyle)? Tafadhali naomba msaada
Je, mtu akichomwa na mwiba uliosababisha deep cut ni vyema akaenda kuchoma sindano ya tetenus au ina apply kwenye misumari tu na vitu vya ncha vyenye kutu kutu?
Wakuu salama!
Jana kwa bahati mby nmegegeda askari flani iv sasa simwamini kivile nahisi kaungua nmepga viwili tu nmemwambia kupima ety ananiambia kila mwez wanapima ila hta sasa Ypo Tayar jaman...
Habarini za kazi poleni na miangaiko ya maisha! Naombe msaada kama kunauwezekano wa kusafisha macho yakawa meupe kama watu au kama kuna dawa nijulisheni
Wakuu heri za sikukuu,
Naomba msaada===> Watoto wadogo kichwani uwa wanasehemu ambayo uwa inabonyea ukiangalia wakati amekatwa nywele ni kama vile ina tweet - yaani kama inapumua vile ama kitu...
Hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaojiita wataalamu wanaotibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, na pia yameibuka madawa kadha wa kadha ambapo vijana wengi wameishia kutapeliwa...
Nimekuwa nikipata shida ya usingizi (insomnia) kwa muda mrefu sasa. Jana nimekunywa Juice ya nanasi usiku saa nne nikajikuta ghafla naanza kusinzia baada ya muda kidogo kupita. Kwakweli haijawahi...
Hivi karibuni kuna maumivu nayahisi ubavuni chini ya mbavu panda zote mbili za tumbo.
Mara nyingi nayahisi maumivu hayo usiku. nimelala au asubuhi hasa kama jana yake nilikunywa pombe hata kama...
Wapendwa ktk mwenyezi,nawasalimu.
Nawasihi tusichoke kusaidiana.naomba msaada kwa anayejua dawa ya herpes simplex virus atusaidie,hata kama ni ya jadi.poleni kwa usumbufu
Habari za asubuhi wakuu naomba ushauri kipimo gani nikapime kinaweza nipa majibu mazuri kujua kilicho ndani ya tumbo langu kinachonitesa,nishapima choo mara kibao sio afadhari
Bwana yesu asifiwe na wale wengine asalaam aleykum.
Kila mtu hazuiliwi nini aamini kwa wakati gani na kwanini.
Wapo watu wanaamini yesu atosha hata akiugua hawezi kunywa dawa yoyote anaamini...
Hii ni kwa wanaume...Inawezekana mtu kupoteza hisia na kushindwa kufika kileleni akiwa anafanya mapenzi ? Na kama ni kweli kuna tiba yeyote inayojulikana
Habari wataalam wa Afya.
Naomba kusaidiwa hili tatizo,mke wangu alijifungua toka mwezi wa 10 mwanzoni,cha kushangaza damu ilikata halafu ikarudi tena kubleed.
Damu inatoka kila akifanya kazi...
Nawasalim wana JF.
Mimi ni kijana wa miaka 20,nina tatizo moja.
Lips zangu(midomo) ni nyeusi hivyo naombeni msaada wa kuzifanya kuwa na mwonekano mzuri na laini tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.