Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni ushauri, Mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto anakosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures). Sasa je, ni salama...
0 Reactions
144 Replies
38K Views
Samahani nipo Dar, i have a friend who ana tatizo la depression, i need a professional help to cure my friend, can any doctor specialized in that please help?
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukwaju ni tunda linalofahamika na asilimia kubwa ya watu duniani ambapo hulitumia kwa kula ama kutengeneza juisi. Tunda hili linalotokana na mti wa mkwaju ambao huota porini na unapatikana katika...
5 Reactions
10 Replies
34K Views
Eti kutumia sabuni au mafuta ya nazi Au ya mgando kama vilainishi wakati wa kujamiana kuna madhara Gani kiafya au maeneo husika?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Madaktari wa humu ndani anayejua ugojwa wa kichomi unasababishwa na nini? Pia tiba yake nin tujuzane
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa...
3 Reactions
57 Replies
11K Views
Mimi ni kijana huwa napenda sana kunywa juice ya miwa karibu kila siku na huwa nakunywa Lita 1...Je kuna madhara kunywa kila siku juice hii???
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Hii ni kama mara ya tano sasa kila ninapojiskia malaria madaktari hunishauri kutumia dawa ya malaria ya mseto,ila cha ajabu kila ninapomeza dawa hii ya mseto hamu ya kufanya mapenzi huwa ipo juu...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Pls wadau naomba mwenye uelewa kuhusu utambuzi wa jinsia kwakutumia ultrasound
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wana.JF Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia KONDOMU,Ikafikia hatua...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Habar zenu jaman Moja kwa moja naomba niende kwenye tatizo lenyewe, Nimekua nkisumbuliwa na titizo la mwili kuwasha na hili hutokea mara nitembeapo kwa miguu kaumbal flani na huanza gafla na...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wandugu natafuta dawa ya kuondoa mikunjo tumboni inayosababishwa na uzazi/mimba
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu nina hoja fulani muhimu, Serikali ifikirie kutoza faini kwa yeyote atakayekwenda hospitali akagundulika ana ugonjwa/magonjwa ya zinaa. Hii itasaidia kupunguza magonjwa hayo kwani watu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
habari wana jf, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina tatizo la kushikwa na misuli ya miguu na mara nyingi hunitokea nikiwa nimejipumzisha au wakati wa kula "chakuka cha usiku" tatizo ilo...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Wana JF karibuni kwa mjadala huu Napenda kujua kama watoto wachanga wawapo tumboni kwa mama zao {kabla ya kuzaliwa} wanaweza kuugua {ugonjwa wa aina yeyote}? Na kama huwa wanaugua nini...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Watanzania wengi hupendelea kunywa maji au soda baridi wakati wa kula au muda mfupi baada ya kula chakula Wataalamu wa masuala ya afya wanaeleza kuwa ni hatari kunywa maji ya baridi wakati na...
5 Reactions
21 Replies
7K Views
Rejea kichwa cha habari Ni nini madhara yake?
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Habari the great thinkers Nina mpenz wangu,hayupo period ila kila tukifanya mapenzi damu zinamtoka,je yaweza kua sababu ni nini??hii hali ina kama mwezi sasa hata yeye hajui chanzo chake ni...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa.moja kwa zote twende kwenye mada fizi zangu zinaniuma balaa hasa nikila kitu cha moto nn tatizo waungwana na nitumie dawa gani msaada vijembe nope
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Why you should go get that pap smear urgently By Trizah Mwanyika 13th May 2009emailPrintCommentsAccording to statistics from the World Health Organisation, women from East Africa are the most...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom