Habari za jion hum ndani,jamani kuna mgonjwa ambaye ni ndugu yangu anatatizo la kutoka na nyama ya ndani kwenye aja kubwa wakati wa kujisaidia hairudi yenyewe mpaka usaidie kwa kurudisha na...
Habari iwe nanyi wapendwa!
Bila kupoteza muda napenda kujikita kwenye mada, kaka yangu ameo mwaka moja sasa. Huyu mwanamke walikuwa hawajajuana kindoa mpaka walipooana, sasa mwanamke analalama...
Chai Ya Majani ya Kijani kwa jina Tedivina Detox Tea Yenye kutibu Maradhi Mengi mwilini na kupunguza Unene kwa haraka na Kuondosha Sumu Mwilini. Chai ya kutoka nchini Amerika.
Faida ya chai ya...
Wanabodi,
Mtoto wa shemeji yenu amekuwa anaharisha au kuharisha na kutapika kwa mpigo kila usiku wa manane au alfajiri. Mchana anashinda salama tu, anakula, anacheza, hadi muda wa kulala...ila...
Kuna Pharmacist kanilipulia bomu akaniambia Condoms za DUREX aina ya FEATHERLITE zenye pakiti ya rangi ya brown zimepigwa marufuku kisa ziko chini ya kiwango. Naomba wadau walio karibu na TFDA...
Habari zajion wana jamii tafadhali mwenyekujua tiba ya kukabwa koo ndug zangu anisaidie nimezunguka ospitar ya kwanz niliambiwa minyoo ospitar ya pili sikuambiwa tatizo nilichomwa sindano ya...
Mtu mmoja alisema /aliniambia ,ukisex na mtu mwenye maambukizi ya ,ukimwi,kaswende,kisonono,nk,kipimo ni siku 3 kwenye uume lazima mapele madogo madogo yajitokeze kama umepatwa na gonjwa...
Salaamu ndugu zangu na imani kubwa sana wote wanajamii forum kwa mapendo makuu ya Muumba wetu na imani mpo salama
Nauliza kwa kutaka kujua kuwa nikipindi gani kizuri cha kwenda aja kubwa
Je...
Dah jamani mwenye kujua hiyo dawa ya kupulizia na kuua mbu anisaidie maana hapa home ikifika jioni ni balaa tupu, nahitaji zile za kupulizia nje ya nyumba na ndani kwenye eneo kubwa mtambo ule wa...
Share.......
HEWA CHAFU KUTOKA UKENI
hili ni tatizo linalowakumba WANAWAKE wengi sana tena sanaa na wanashindwa wafanye nn kulitatua na pia wengi wao hawajuwi ni kitu ganikinasababisha hali...
Dr Aloysius LOH:
An interesting article.
Life can begin at 60, it is all in your hands! Many people feel unhappy, health-wise and security-wise, after 60 years of age, owing to the diminishing...
Hello
Kwa wataalamu wa afya ningpenda kujua ni sababu gani zinamfanya mzazi akatazwe kunyonyesha mtoto ukiacha ya HIV ambayo ndio pekee naifahamu.
Leo nimeshangazwa kuona mzazi hanyonyeshi tena...
Salamu waungwana
Jamani kuna kakitu kananisumbua nahitaji msaada kwakweli
Ni Kanyama sijui kanini kapo sehemu ya haja big kanauma kweli siwezi kuelezea zaidi walioelewa wanipe msaada TAFSIDA...
Kwa muda sasa nimekuwa na tatizo la kila nipatapo homa lazima nitokwe na vidonda mdomoni tena vidonda hivyo hunisumbua sana kupona ikiwa ni pamoja na kuwasha sana, naomba msaada nini cha kufanya...
Wasalaam wandugu,
Nisipoteze muda niende moja kwa moja,
Mimi ni kijana umri 30+ nina siku ya pili sasa napata maumivu kwenye korodani moja sasa sijajua ni dalili za ugonjwa gani au inasababishwa...
Habar wanajamvi naomba msaada wenu mwanangu kaanza kuota meno alianza kuota ya chini lakin sasa yanaota ya juu ila sio kama kawaida yaan yameota meno chonge naomba msaada wenu wa mawazo ushauri...
Kuungua kwa watoto kwa moto ni moja ya ajali zinazotokea sana mara kwa mara na huwakuta wakiwa majumbani mwao. Asilimia 70 ya kuungua kwa watoto huwa ni wao wenyewe ndio hujitumbukiza katika ajali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.